Je was op zoek naar: dhibiti habari kuhusu afya yako (Swahili - Engels)

Computervertaling

Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.

Swahili

English

Info

Swahili

dhibiti habari kuhusu afya yako

English

 

Van: Machinevertaling
Stel een betere vertaling voor
Kwaliteit:

Menselijke bijdragen

Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.

Voeg een vertaling toe

Swahili

Engels

Info

Swahili

habari kuhusu mradi huu zipo hapa.

Engels

news stories about the project are here.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

soma na sambaza habari kuhusu kesi hii:

Engels

read and share stories about the case:

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

kulikuwepo na kosa kupata habari kuhusu pakwenda.

Engels

there was an error getting information about the destination.

Laatste Update: 2014-08-15
Gebruiksfrequentie: 3
Kwaliteit:

Swahili

afya yako ikoje?

Engels

so happy to see you

Laatste Update: 2023-12-05
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

magazeti ya kitaifa kama vile milenio yalichapisha habari kuhusu shughuli zilizofanyika katika kumbukumbu hizo:

Engels

national newspapers like milenio reported the activities that took place in remembrance of the anniversary:

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

chini ya masaa mawili tovuti ya metro29.ru iliundwa ili kupasha habari kuhusu tukio hilo.

Engels

in less than a couple of hours a website metro29.ru has been installed to cover the events.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

mahitaji ya uwazi zaidi na kuongeza uwajibikaji kwa makampuni ya kuboresha usambazaji wa habari kuhusu shughuli zao.

Engels

the demand for more transparency and accountability increases the companies responsibility for improving the dissemination of information regarding their activities.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

makuhani wakuu pamoja na viongozi wa wayahudi walimpa habari kuhusu mashtaka yaliyokuwa yanamkabili paulo. walimsihi festo

Engels

then the high priest and the chief of the jews informed him against paul, and besought him,

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

habari kuhusu maisha au kifo cha rais huyo wa zamani wa misri si habari pekee ambayo haiwezi kuthibitishwa nchini misri siku hizi.

Engels

news about the life or death of the former president is not the only information that cannot be confirmed in egypt nowadays.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

kwa uchache hivi ndivyo tulivyoelewa kutokana na taarifa za habari kuhusu jinsi marekani ilivyopigwa ngeu katika mahusiano yake na nchi hizo ukiiondoa irani.

Engels

at least this is what we understood from the news reports about how the states are scared on its relations with these countries excluding iran.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

@alshaf3ee: je, kuna habari kuhusu wa-asia ambao waliofuatiliwa na doria ya polisi siku chache zilizopita?

Engels

@alshaf3ee: is there news about the asians who were run over by police patrols a few days ago?

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

hata hivyo, alitoa maoni kwenye habari kuhusu rais wa rwanda paul kagame, aliyesema kwamba yuko tayari kuachia madaraka, abullah omar aliandika:

Engels

however, commenting on a story about rwandan president paul kagame, who said that he is open to leaving power, abullah omar wrote:

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

girifna, wanaharakati wa vuguvugu la amani, walitumia zana za habari za kiraia kama facebook na twita ili kutawanya habari kuhusu mahali walipo waandamanaji katika mji huo mkuu wenye majimbo matatu.

Engels

girifna, a non-violent movement, used social media sites like facebook and twitter to convey information about the whereabouts of protests around the tri-state capital.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

kumekuwepo na tetesi, dondoo na hata uvumi kuhusu afya au basi udhaifu wa afya ya rais wa zambia michael chilufya sata, aliye madarakani tangu septemba 2011.

Engels

there have been rumours, innuendoes and even insinuations regarding the health, or the lack of it, of zambia’s president michael chilufya sata, in office since september 2011.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

ni wazi, habari hizo za siri hazikufunua vyema yanayoendelea kuhusu afya ya rais huku maafisa waandamizi wa serikli kuanzia makamu wa rais na mawaziri wakitoa matamko ya aina aina kuanzia madai kwamba rais yuko kwenye likizo yake ya malipo hadi madai ya kwamba alikuwa anatafuta fursa za kiuwekezaji na kukutana na rais wa nchi hiyo shimon perez.

Engels

obviously, the expose did not go down very well with government whose senior officials at the level of vice president and ministers issued all manner of statements ranging from the president being on a working holiday to wooing investors and meeting that country’s president shimon perez.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

baada ya kusafiri, fuatilia afya yako na uzingatie kujitenga binafsi kwa wiiki mbili ili uepuke kuwaambukiza watu wengine virusi.

Engels

after travel, monitor your health and consider self-isolation for two weeks to avoid transmitting the disease to others.

Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

mwisho, el periodista cívico (mwandishi wa haki za raia) amekuwa akiandika habari kuhusu maandamano hayo ya kitaifa, akiweka habari mpya kuhusu waandamanaji waliokuwa wamewekwa kizuizini katika mikoa mbalimbali ya nchi hiyo.

Engels

finally, el periodista cívico (the civic journal) has been curating information about the national demonstrations, highlighting regular updates about protesters who are under arrest in various venezuelan regions.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

@sheofnations: @simonallison kupuuzwa huko kunaleta maana kukifanywa na vyombo vya habari vya kimataifa, lakini ni tatizo sana inapotokea kuwa habari kuhusu bara hili zinachunjwa kupitia vyombo vya habari vya kimataifa.

Engels

@sheofnations: @simonallison makes sense for int'l content,but it's highly problematic that news about the continent is filtered through int'l media houses

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

mradi wa rising voices na global voices wanaandaa gumzo la moja kwa moja mtandaoni kwa wanablogu na wanaharakati siku ya ijumaa mwezi wa tatu mwaka huu(saa 11 jioni kwa saa za nairobi) mada kuu ikiwa jinsi ya kublogu na kuongeza uelewa na habari kuhusu virusi vya ukimwi na ukimwi.

Engels

rising voices and global voices are holding a live online chat for bloggers and activists on friday march 6, 2009 (5 pm nairobi time) on how to use blogging to improve awareness and information about hiv/aids.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

vyombo vichache vya habari vimeidaka habari hiyo (shirika la habari la moroko ni mojawapo), lakini wanablogu kadhaa wenye uhusiano binafsi na kijiji hicho wameanza kusambaza habari kuhusu mkasa huo, wengine wakiwa na matumaini ya kuwarejesha wafanyakazi hao nchini moroko.

Engels

few media outlets have picked up on the story (the official moroccan news agency is one), but a number of bloggers with personal connections to the village have begun to spread word about the incident, some with hopes of returning the staff to morocco.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Krijg een betere vertaling met
7,744,646,583 menselijke bijdragen

Gebruikers vragen nu voor assistentie



Wij gebruiken cookies om u de best mogelijke ervaring op onze website te bieden. Door de website verder te gebruiken, geeft u toestemming voor het gebruik van cookies. Klik hier voor meer informatie. OK