Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van: Machinevertaling
Stel een betere vertaling voor
Kwaliteit:
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
lakini nina wasiwasi kwamba hadhira hii inaweza isimsaidie mwanablogu.
but i suspect that much of this audience will never be yours.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
hii inaweza kuongezwa ikiwa waundaji wa phe watahitaji sampuli zaidi.
this could be increased if phe modelers require more samples.
Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
hii inaweza kuwa ni nafasi yako ya kipekee kabisa ya kung’ara!
this might be the only time in your life to shine!
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
hii inaweza kusababisha pia matatizo ya kiafya ambayo husalia baada ya ugonjwa mkali kupona.
this may also lead to post-intensive care syndrome following recovery.
Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
hii inaweza kufanywa na mpokezi au mfanyakazi wa kimatibabu, kwa kutegemea utaratibu wa huduma binafsi.
this can be by a reception or clinician staff, depending on individual practice protocol.
Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
ikiwa kuna idadi ndogo ya visa, hii inaweza kusaidia katika kuunda kifurushi cha kupima kwa wagonjwa kupeleka katika gp zao binafsi na kuchunguza kukubalika kwake kwa wagonjwa.
if there are a small number of cases, this may assist in developing a test kit for patients to take to their own gp and explore its acceptability to patients.
Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
kutokuwepo kabisa kwa maelezo ya kitaalamu kwenye bidhaa hiyo, pamoja na shutuma mtandaoni kuwa bidhaa hii inaweza kusababisha magonjwa, vilinifanya nisite kumpoatia mtu atakayejitolea kufanya jaribio.
the complete absence of medical information on the product, as well as online accusations that this product can cause infections, made me unwilling to give it to a volunteer to test.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
ikiwa uko mbali na nyumbani, na hasa ikiwa uko katika nchi nyingine, zingatia kurudi nyumbani haraka iwezekanavyo, hii inaweza kuwa vigumu zaidi kwa kuwa vikwazo vinaendelea kubadilika.
if you are away from home, and especially if you are in another country, consider returning home as soon as possible; this may get even more difficult as restrictions continue to change.
Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
kusipokuwepo chaguo mbadala, wazazi wanaofanya kazi mara nyingi huwaacha watoto pekee yao shule zinapofungwa na hii inaweza kusababisha mienendo hatari, ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa shinikizo la wanarika na matumizi ya dawa za kulevya.
in the absence of alternative options, working parents often leave children alone when schools close and this can lead to risky behaviours, including increased influence of peer pressure and substance abuse.
Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
katika uchaguzi ambao “raia wengi hawana ufahamu wa karibu wa michakato ya msingi ya uchaguzi, wanapinga ushindani wa vyama vingi na wana mashaka kama uchaguzi utakuwa wa haki,” miradi hii inaweza kuwa na nafasi muhimu katika kuwaelimisha watu na kuorodhesha matatizo yanayoweza kujitokeza katika mchakato wa upigaji kura.
in an election where "many citizens are unfamiliar with basic election processes, are opposed to multi-party competition and have doubts about whether the vote will be fair," these projects may play critical roles in educating people and documenting possible problems with the voting process.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak
Enkele menselijke vertalingen met lage relevantie werden verborgen.
Toon lage-relevantie resultaten.