Je was op zoek naar: inavyokuwa (Swahili - Engels)

Computervertaling

Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.

Swahili

English

Info

Swahili

inavyokuwa

English

 

Van: Machinevertaling
Stel een betere vertaling voor
Kwaliteit:

Menselijke bijdragen

Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.

Voeg een vertaling toe

Swahili

Engels

Info

Swahili

mnapoona upepo wa kusi unavuma, mwasema kutakuwa na hali ya joto na ndivyo inavyokuwa.

Engels

and when ye see the south wind blow, ye say, there will be heat; and it cometh to pass.

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

lilie belle katika blogu ya maguyane anaielezea kanivali inavyokuwa katika gayana ya kifaransa na anatoa jibu la swali hilo :

Engels

lilie belle in maguyane decribes carnival in french guiana and provides an answer to the question :

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

kwa wale ambao bado mnashawishika kwamba sisi ni taifa kandamizi na kwamba sisi wanawake masikini tunahitaji kufunzwa namna ya kupambana na kama sivyo vyema vyema endeleeni kutupigania, ngojeni niwape maelezo mafupi namna siku ya kawaida inavyokuwa jijini riyadh.

Engels

for those of you who are still convinced we are an oppressed nation and us poor poor woman need to be taught how to fight back and if not well go ahead and fight for us, let me give you a little review of what a regular day in riyadh is like.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

na magazeti na idhaa za habari ni lazima viuze nafasi za matangazo na muda wa kurusha matangazo hewani ili kutengeneza fedha, na kwa kadiri habari inavyokuwa inatishia na kuogopesha ndivyo wanavyopata watazamaji na wasomaji wengi zaidi, ambavyo huongeza watangaza biashara, na faida zaidi.

Engels

and newspapers and news channels have to sell advertising space and airtime to make money, and the more shocking and scary their stories, the more viewers and readers they have, which leads to more advertisers, and more profits.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

wakiandika kwenye blogu ya washington post, keith weghorst na ruth carlitz wanadhani kwamba kuharakishwa kwa miswada hiyo “kunaendana na tabia ya chama hicho kinachotawala ya kutaka kung’ang’ania madaraka kwa gharama yoyote.” wanaandika, "kadri serikali inavyodhoofisha uhalali wa mashambulizi ya upinzani –kwa kuhodhi upatikanaji wa taarifa za umma –ndivyo inavyokuwa kwenye nafasi nzuri ya kuzuia kashfa na utendaji duni zisiwadhuru kwenye uchaguzi.”

Engels

writing on washington post blog, keith weghorst and ruth carlitz argue that fast-tracking the bills is "consistent with the behavior of a ruling party willing to hold onto power at all costs." they write, "the more that the government can weaken the legitimacy of opposition criticism—by monopolizing the flow of public information—the better they are positioned to prevent scandals and poor performance from hurting them at the polls."

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak

Krijg een betere vertaling met
7,800,282,265 menselijke bijdragen

Gebruikers vragen nu voor assistentie



Wij gebruiken cookies om u de best mogelijke ervaring op onze website te bieden. Door de website verder te gebruiken, geeft u toestemming voor het gebruik van cookies. Klik hier voor meer informatie. OK