Je was op zoek naar: jangwani (Swahili - Engels)

Menselijke bijdragen

Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.

Voeg een vertaling toe

Swahili

Engels

Info

Swahili

jangwani

Engels

jangwani

Laatste Update: 2012-08-20
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Wikipedia

Swahili

wazee wenu walikula mana kule jangwani, lakini walikufa.

Engels

your fathers did eat manna in the wilderness, and are dead.

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Wikipedia

Swahili

kisha roho alimwongoza yesu mpaka jangwani ili ajaribiwe na ibilisi.

Engels

then was jesus led up of the spirit into the wilderness to be tempted of the devil.

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Wikipedia

Swahili

hata hivyo, wengi wao hawakumpendeza mungu, na maiti zao zilisambazwa jangwani.

Engels

but with many of them god was not well pleased: for they were overthrown in the wilderness.

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Wikipedia

Swahili

yesu alitoka katika mto yordani akiwa amejaa roho mtakatifu, akaongozwa na roho mpaka jangwani.

Engels

and jesus being full of the holy ghost returned from jordan, and was led by the spirit into the wilderness,

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Wikipedia

Swahili

baada ya hapo walilazimishwa kusafiri kwa gari la polisi na kutelekezwa jangwani baada ya usiku wa manane.

Engels

they were then forced to ride a police car and thrown in the desert sometime after midnight.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Wikipedia

Swahili

mtoto akakua, akapata nguvu rohoni. alikaa jangwani mpaka alipojionyesha rasmi kwa watu wa israeli.

Engels

and the child grew, and waxed strong in spirit, and was in the deserts till the day of his shewing unto israel.

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Wikipedia

Swahili

ulimwengu haukustahili kuwa na watu hao. walitangatanga jangwani na mlimani, wakaishi katika mashimo na mapango ya ardhi.

Engels

(of whom the world was not worthy:) they wandered in deserts, and in mountains, and in dens and caves of the earth.

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Wikipedia

Swahili

msiifanye mioyo yenu kuwa migumu kama wazee wenu walivyokuwa wakati walipomwasi mungu; kama walivyokuwa siku ile kule jangwani,

Engels

harden not your hearts, as in the provocation, in the day of temptation in the wilderness:

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Wikipedia

Swahili

tulienda kwa kutumia njia zisizo rasmi na kupitia jangwani huku tukilazimika kusimama mara kwa mara katika vijiji vidogo kununua mikate na kutengeneza matairi ya gari.

Engels

we went on off-road tracks and through the desert stopping occasionally in small villages to buy bread or repair the tyres.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Wikipedia

Swahili

na mwenyezi mungu amenifanyia wema kunitoa gerezani, na kukuleteni kutoka jangwani baada ya shet'ani kuchochea baina yangu na ndugu zangu.

Engels

and he was certainly good to me when he took me out of prison and brought you [here] from bedouin life after satan had induced [estrangement] between me and my brothers.

Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Wikipedia

Swahili

madai hayo yalitokea licha ya alaa kusubiri nje ya kituo cha polisi ambapo dada yake alikuwa kizuizini novemba 26 jioni yote mpaka yeye alipochukuliwa na marafiki baada ya polisi kumrusha yeye na wenzake jangwani na kutelekezwa.

Engels

this allegation came despite the fact that alaa waited outside the police station where his sister was detained on november 26 all evening until she was picked up by friends after police threw her and her colleagues in the desert.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Wikipedia

Swahili

na mwenyezi mungu ameijaalia iwe kweli. na mwenyezi mungu amenifanyia wema kunitoa gerezani, na kukuleteni kutoka jangwani baada ya shet'ani kuchochea baina yangu na ndugu zangu.

Engels

and he raised his parents to the throne, and they fell down before him prostrate, and he said: o my father! this is the interpretation of my vision aforetime; my lord hath now made it come true; and surely he did well by me when he took me forth from the prison, and hath brought you from the desert after the satan had stirred strife between me and my brethren; verily my lord is subtilel unto whomsoever he will.

Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Wikipedia

Swahili

na mwenyezi mungu amenifanyia wema kunitoa gerezani, na kukuleteni kutoka jangwani baada ya shet'ani kuchochea baina yangu na ndugu zangu. hakika mola wangu mlezi ni mpole kwa alitakalo.

Engels

and he raised his parents upon the throne and they fell down in prostration before him, and he said: o my father! this is the significance of my vision of old; my lord has indeed made it to be true; and he was indeed kind to me when he brought me forth from the prison and brought you from the desert after the shaitan had sown dissensions between me and my brothers, surely my lord is benignant to whom he pleases; surely he is the knowing, the wise.

Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Wikipedia

Swahili

wakati watu wa israeli walipokutana pamoja kule jangwani, mose ndiye aliyekuwako huko pamoja nao. alikuwa huko pamoja na babu zetu na yule malaika aliyeongea naye mlimani sinai; ndiye aliyekabidhiwa yale maneno yaletayo uzima atupe sisi.

Engels

this is he, that was in the church in the wilderness with the angel which spake to him in the mount sina, and with our fathers: who received the lively oracles to give unto us:

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Wikipedia

Swahili

alisema hivyo kwa kuwa yesu alikwishamwambia huyo pepo mchafu amtoke mtu huyo. pepo huyo mchafu alikuwa anamvamia mtu huyo mara nyingi, na ingawa watu walimweka ndani na kumfunga kwa minyororo na pingu, lakini kila mara alivivunja vifungo hivyo, akakimbizwa na pepo huyo mchafu hadi jangwani.

Engels

(for he had commanded the unclean spirit to come out of the man. for oftentimes it had caught him: and he was kept bound with chains and in fetters; and he brake the bands, and was driven of the devil into the wilderness.)

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Wikipedia

Swahili

hapo wajumbe wa yohane walipokwisha kwenda zao, yesu alianza kuyaambia makundi ya watu juu ya yohane: "mlikwenda kule jangwani, hivi mlitaka kuona kitu gani? mlitaka kuona unyasi unaotikiswa na upepo?

Engels

and when the messengers of john were departed, he began to speak unto the people concerning john, what went ye out into the wilderness for to see? a reed shaken with the wind?

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Wikipedia
Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak

Krijg een betere vertaling met
7,747,264,753 menselijke bijdragen

Gebruikers vragen nu voor assistentie



Wij gebruiken cookies om u de best mogelijke ervaring op onze website te bieden. Door de website verder te gebruiken, geeft u toestemming voor het gebruik van cookies. Klik hier voor meer informatie. OK