Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
kujitoa mhanga
dedication
Laatste Update: 2024-03-17
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
je, naweza kujitoa?
can i opt-out?
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
edom aliona ni heri kujitoa na kuungana na wanahabari hawa.
edom took pride in showing solidarity with these journalists.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
katika kujitoa sadaka ndiyo na wengine wanajitoa sadaka kwa ajili yetu
in sacrificing that others do sacrifice for us
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
china: kujitoa uhai kwa msomi mwingine tena - kisa cha yang yuanyuan
china: another elite's suicide - the story of yang yuanyuan · global voices
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
kujitoa kwa gambia kutoka jumuiya ya madola kunavutia vichwa vya habari za kimataifa.
gambia withdrawal from the commonwealths attracts international headlines.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
kuondoka kwa mtu huyu mwenye sifa kubwa kulifuatiwa na kujitoa idadi ya wanachama hai wengine.
his high-profile departure was accompanied by the withdrawal of a number of other active members.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
kwa kadri ninavyozidi kukua, kujitoa kwangu kwa ajili ya simba kumepungua kwa kiasi fulani.
as i’ve grown older, my devotion to simba has waned somewhat.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
"ipo haja ya kujitoa katika mashindano yote ya soka ya kimataifa ili tuweze kurekebisha mambo."
"there is need to withdraw from all international football competition so that we can put our house in order."
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak
kimsingi siko kinyume na kitendo cha gambia kujitoa kwenye jumuiya ya madola lakini kama kawaida yahya haonyeshi mwelekeo kwa mara nyingine.
i'm not against the gambia withdrawing from the commonwealth in principle but as usual yaya is acting erratically once again. #gambia — abdou (@abs2ray) october 3, 2013
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
haikuwa mara ya kwanza kwa m-palestina kutumia njia ya kujitoa mhanga kwa kujichoma kama njia ya kuonesha kutoridhishwa na jambo.
it wasn't the first case of a palestinian using self-immolation as a protest.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
baadhi ya waandamanaji walishinikiza kunyongwa kwa sajda rishawi, ambaye alikamatwa mara baada ya kushindwa kujitoa mhanga pale bomu alilokuwa amelivaa kushishindwa kulipuka.
some protesters also called for the execution of sajda rishawi, a failed suicide bomber behind bars in jordan.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
na wala hawafikiri kwamba nchi za magharibi ndizo zilizomtengeneza sheitwan na kwamba raia wa kimagharibi ndio wanaopaswa kupigwa na kuangamizwa kwa kutumia matendo ya kujitoa mhanga yanayosukwa kwa ustadi na kwa kushtukiza.
nor do they think that the west was created by satan and should be defeated in battle by inflicting maximum civilian casualties through random and creative acts of murderous suicide.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
leo, kila nchi duniani itajua habari hizi za kujitoa na kila nchi mwanachama wa jumuiya ya madola, ikiwa ni pamoja na marekani, itathibitishiwa wasiwasi wowote kuhusiana na madai yetu.
today, ever country in the world will carry this withdrawal news and every commonwealth member state, including the us, will have every lingering doubt about our claims, confirmed.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
benjamin roger wa jeune afrique anaripoti kuwa wanajeshi 18, raia mmoja na magaidi wanne waliuawa mapema subuhi ya leo katika shambulio la mabomu ya kujitoa muhanga kwenye gari mjini agadez, niger tarehe 23 mei.
benjamin roger for jeune afrique reports that 18 soldiers, one civilian and four terrorists were killed early morning in an suicide car bombing in agadez, niger on may 23.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
maana ingalikuwa hivyo, kristo angalipaswa kuteswa mara nyingi tangu kuumbwa ulimwengu. lakini sasa nyakati hizi zinapokaribia mwisho wake, yeye ametokea mara moja tu, kuondoa dhambi kwa kujitoa yeye mwenyewe dhabihu.
for then must he often have suffered since the foundation of the world: but now once in the end of the world hath he appeared to put away sin by the sacrifice of himself.
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
shauri la kwanza kusikilizwa katika kesi ya dk al-khadar lilifanyika mnamo februari 20, alipomwomba hakimu kujitoa kwenye shauri hilo kwa sababu ya mgongano wa zamani wa kimaslahi aliwahi kuwanao, lakini hakimu aligoma.
the first hearing session in dr. al-khadar's trial was on february 20th, when he asked the judge to withdraw from the case because of a previous personal conflict that they had had, but the judge refused.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
@johnlyndon1: kujitoa mhanga kwa kujiunguza kwa moto katika mji wa gaza; kujichoma kwa moto kwa fayyad huko hebron; maandamano katika majiji muhimu huko ukanda wa magharibi.
@johnlyndon1: self immolation in gaza; fayyad effigy burning in hebron; protests in major west bank cities.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
katika mjadala uliohusu upatikanaji mapato, kitu ambacho wanablogu wengi, hawakukichukulia kama kichocheo kikubwa katika kiu yao ya kublogu, wengi walikiri kwamba ingawa walikuwa wamejisajili katika makampuni ya kimataifa ya masoko ya mtandaoni, hakukuwa na kitu kikubwa kilichopatikana jambo lililowafanya wengi kujitoa katika huduma.
during the discussion on revenue generation which most bloggers didn’t view as an incentive to their blogging quest, most admitted that despite signing up with international online advertising companies, there was very little to show for it with most eventually withdrawing from the service.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit: