Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
kwa niaba ya
on behalf of
Laatste Update: 2020-04-28
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
asante kwa niaba yake
thank you on behalf
Laatste Update: 2022-11-06
Gebruiksfrequentie: 2
Kwaliteit:
Referentie:
kunichukuliwa cheti kwa niaba yangu
to pick me up a certificate
Laatste Update: 2022-04-08
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
leo vultus kwa niaba ya murillo martins kwa kampeni ya run4run4lions.
leo vultus by murillo martins for the campaign run4run4lions.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
alama ya wfd katika strasbourg 2013 picha kwa niaba ya suzanne lehn
logo of the wfd in strasbourg 2013 photo suzanne lehn
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
kwa ujumla kulikuwa na mikutano kumi na mbili iliyofanyika kwa niaba ya alex.
overall there were twelve meetings held for alex.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
ye htut, naibu waziri wa habari, alitoa taaarifa kwa niaba ya serikali:
ye htut, deputy minister of information, released a statement in behalf of the government:
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
kwa kuwa bado yupo gerezani, hatuna budi kudumisha matarajio haya kwa niaba yake.
for as long as he is behind bars, we must carry out this wish on his behalf.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
siku hizi vinaweza kuwa kwa niaba ya serikali au vipinga serikali, lakini bado vinamailikiwa na vyama vya siasa.
today they can be pro-government or anti-government, but are still run by political parties.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
siku hiyo mtaomba kwa jina langu, na siwaambii kwamba nitamwomba baba kwa niaba yenu;
at that day ye shall ask in my name: and i say not unto you, that i will pray the father for you:
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
kwa niaba ya taifa lote, ninaungana na familia za wale waliopoteza maisha yao na kuwapa rambirambi za kila raia wa kenya kwa kilichotokea.
with the entire nation, i stand with the families of those who have lost their lives and extend every kenyan’s deepest condolences.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
basi, sisi tunamwakilisha kristo, naye mungu mwenyewe anatutumia sisi kuwasihi ninyi. tunawaombeni kwa niaba ya kristo, mpatanishwe na mungu.
now then we are ambassadors for christ, as though god did beseech you by us: we pray you in christ's stead, be ye reconciled to god.
Laatste Update: 2024-04-15
Gebruiksfrequentie: 2
Kwaliteit:
Referentie:
kila kuhani mkuu huchaguliwa kutoka miongoni mwa watu kwa ajili ya kumtumikia mungu kwa niaba yao, kutolea zawadi na tambiko kwa ajili ya dhambi zao.
for every high priest taken from among men is ordained for men in things pertaining to god, that he may offer both gifts and sacrifices for sins:
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
akiandika kwa niaba ya southeast asia globe, denise hruby aliripoti jinsi wagonjwa wa akili katika maeneo mengi ya vijijini vya cambodia wanavyofanyiwa:
writing for southeast asia globe, denise hruby reported how the mentally ill in many rural areas of cambodia are being treated:
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
yesu ametangulia kuingia humo kwa niaba yetu, na amekuwa kuhani mkuu milele, kufuatana na utaratibu wa ukuhani wa melkisedeki.
whither the forerunner is for us entered, even jesus, made an high priest for ever after the order of melchisedec.
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
mlijifunza juu ya neema ya mungu kutoka kwa epafra, mtumishi mwenzetu, ambaye ni mfanyakazi mwaminifu wa kristo kwa niaba yetu.
as ye also learned of epaphras our dear fellowservant, who is for you a faithful minister of christ;
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
tunatarajia mahusiano zaidi katika siku zijazo. kwa niaba ya usimamizi wa knh, timu ya newsline ingependa kuwashukuru wafadhili wote na watakia mema na kuwatakia krismasi ya merry na mwaka mpya wenye furaha
we look forward to more relationships in the future. on behalf of the knh management, the newsline team would like to thank all the donors and well wishers and wish them a merry christmas and happy new year
Laatste Update: 2021-12-26
Gebruiksfrequentie: 2
Kwaliteit:
Referentie:
poleni sana waheshimiwa wabunge kwa kutukanwa ila tunaomba rathi kwa niaba ya wana kigoma wote kwa kosa alilolifanya mbunge wetu kutoka kigoma ulimi ulitereza jumani hayakuwa makusudio yake kusema vile mimi kuma mzalendo wa mkoa wangu.
my apologies honorable members of parliament for the insult thrown at you, we ask your forgiveness on behalf of everyone from kigoma, for the error committed by our mp from kigoma his tongue slipped and he did not intended to say what he said, i am a patriot for my region.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
pale makampuni hayo matatu yalipotuma ujumbe huo wenye utata kwa wateja wao, pasipo kutoza malipo, kwa niaba ya waziri mkuu au chama cha demokrasia, jambo hilo lilileta migogoro ya kisheria na kisiasa.
when the three mobile operators sent the controversial text message to their subscribers, free of charge, in behalf of the prime minister or the democrat party, it brought some legal and political complications.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
jj rawlings, blogu isiyo rasmi iliyotengenzwa kutoa dondoo za kazi na mawazo ya rais huyo wa zamani iliweka taarifa nzuri tarehe 18 mei, 2009 kuhusu safari ya rais rawlings kwenda afrika kusini kwa niaba ya rais mills.
jj rawlings, an unofficial blog site created to highlight the work and thoughts of the former president posted a positive report on may 18, 2009 about president rawlings’ trip to south africa on behalf of president mills.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie: