Je was op zoek naar: mlinzi wa amani katika kata yake (Swahili - Engels)

Computervertaling

Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.

Swahili

English

Info

Swahili

mlinzi wa amani katika kata yake

English

 

Van: Machinevertaling
Stel een betere vertaling voor
Kwaliteit:

Menselijke bijdragen

Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.

Voeg een vertaling toe

Swahili

Engels

Info

Swahili

mlinzi wa duka

Engels

customer

Laatste Update: 2023-11-11
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

mimi ni mlinzi wa ndugu yangu

Engels

i am my brother’s keeper

Laatste Update: 2023-06-08
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

sopheap chak ni mhitimu wa masomo ya amani katika chuo kikuu cha kimataifa cha japan.

Engels

sopheap chak is a graduate student of peace studies at the international university of japan.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

na mwenyezi mungu ndiye mlinzi wa waumini.

Engels

and allah is the wali (protector and helper) of the believers.

Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

picha zifuatazo zinaonesha maandamano ya amani katika sehemu mbalimbali za nchi:

Engels

the images below show peaceful protests in many other part of the country:

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

maana mungu si mungu wa fujo, ila wa amani.

Engels

for god is not the author of confusion, but of peace, as in all churches of the saints.

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

hivyo, ni kwa jinsi gani mkataba wa amani wa nepal utaenda sawa katika hali kama hiyo na kelekea hitmisho linalotarajiwa?

Engels

so, how can nepal's peace process go normally in such situation towards its expected end?

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

mpaka sasa maandamano ya upinzani yamekuwa ya amani, katika sehemu nyingjne yaliyojaa rangi na muziki.

Engels

so far the protest rallies have been peaceful, in some places colorful and musical.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

alitumia ujasiri na kutokuwa na hofu kwake kuwa mlinzi wa wa wafanyakazi wenzake.

Engels

he used his courageousness and his fearlessness to become a defender of his fellow workers.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

mji wa yanga ni wa amani na unatoa imani kwa ustawi mkubwa wa wakazi.

Engels

yanga is peaceful and emanates longevity.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

jana usiku wanafunzi wawili wa makerere walipigwa risasi na mlinzi wa usalama mwenye silaha jambo ambalo lilipelekea ghasia zilizosambaa sana katika maeneo ya chuo kikuu leo.

Engels

last night two makerere students were shot by an armed security guard leading to widespread riots near the university today.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

katika makala yenye kichwa cha habari, uzinifu wa kukumbuka, fathia absie anaandika kuhusu kushitakiwa kwa joshua asisam mlinzi wa amani katika somalia, kwa kujihusisha na uhusiano wa kimapenzi na mwanamke wa kisomali:

Engels

in a post titled, affair to remember, fathia absie writes about the conviction of joshua asisa, a peace-keeper in somalia, for engaging in an affair with a young somali woman:

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

hayo ni kwa sababu mwenyezi mungu ni mlinzi wa walio amini. na makafiri hawana mlinzi.

Engels

god is the guardian of the believers, but the disbelievers have no guardian.

Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

mikutano, ambayo iliandaliwa kudai haki za wafanyakazi na makundi mengine ya utetezi, yalifanyika kwa amani katika bara lote la asia ya kusini mshariki.

Engels

the rallies, which were organized to echo the various demands of workers and advocacy groups, were relatively peaceful across the region.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

hakimu huyo huyo, ibrahim al-husni, awali aliwahukumu waandamanaji wa amani kuchapwa viboko.

Engels

the same judge, ibrahim al-husni, previously sentenced peaceful protesters to be flogged.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

nimewaambieni mambo haya ili mpate kuwa na amani katika kuungana nami. ulimwenguni mtapata masumbuko; lakini jipeni moyo! mimi nimeushinda ulimwengu!"

Engels

these things i have spoken unto you, that in me ye might have peace. in the world ye shall have tribulation: but be of good cheer; i have overcome the world.

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak

Swahili

watu wanao mkaribia zaidi ibrahim ni wale walio mfuata yeye na nabii huyu na walio amini. na mwenyezi mungu ndiye mlinzi wa waumini.

Engels

indeed the nearest of all people to abraham are those who follow him and this prophet and those who have faith, and allah is the guardian of the faithful.

Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

baada ya kuwepo kwangu katika mji huu wa amani, taarifa za habari kuhusu mapigano na mauaji na kuchomwa moto nyumba za watu haziingii akili mwangu.

Engels

after my experience in this peaceful town, the news reports about the fighting and killing and burning of homes is unbelievable to me.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

katika hotuba hiyo iliyokuwa fupi, mlinzi wa misikiti miwili mitukufu aliwashukuru viongozi wa dini, waandishi na wizara ya mambo ya ndani kwa juhudi walizofanya kutetea ufalme.

Engels

in a short address, the custodian of the two holy mosques thanked clerics, writers and the ministry of interior for their efforts in defending the kingdom.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

collins mbalo anachambua kuona kama umoja wa afrika na comesa/igad walikosa busara katika kusaili utayari wa kenya kufanya uchaguzi wa amani #choice2013.

Engels

collins mbalo wonders whether the african union panel of the wise and the comesa/igad committee of elders was unwise in their assessment of whether kenya is ready for peaceful elections #choice2013.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Krijg een betere vertaling met
7,799,844,521 menselijke bijdragen

Gebruikers vragen nu voor assistentie



Wij gebruiken cookies om u de best mogelijke ervaring op onze website te bieden. Door de website verder te gebruiken, geeft u toestemming voor het gebruik van cookies. Klik hier voor meer informatie. OK