Je was op zoek naar: nilimuona (Swahili - Engels)

Menselijke bijdragen

Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.

Voeg een vertaling toe

Swahili

Engels

Info

Swahili

nilimuona

Engels

today i saw him

Laatste Update: 2023-07-14
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

nilimuona akiwa anaendesha kigari hicho cha kuchezea kwenye vifusi na majabali.

Engels

i watched him push his toy through the rubble and rock.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

na hivi leo, nilimuona akiwasaidia watu kuhamisha cherehani, meza na mapakacha ya makabrasha yao kuyapeleka mbali zaidi hapa barabarani kwetu wakati serikali ilipokuwa inakuja na magari ya kubomoa.

Engels

and then today, i saw him helping people move their sewing machines, their tables, their bags of stuff farther down on our road as the government came through with the bulldozer.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

kama vile aliyetolewa kwenye kipande cha filamu ya steven speilberg, nilimuona mvulana huyu akiendesha kitu mfano wa baiskeli alichokiunda yeye mwenyewe kwa kutumia vapande vya miti pamoja na matairi mawili ya chuma, akiwa anapita kwenye vifusi vya majengo ambavyo awali yalikuwa makazi ya jirani zake.

Engels

as if pulled from a steven speilberg movie scene, i saw this boy pushing his hand made toy designed from a simple stick and two metal wheels through the rubble and carnage that was once his neighbors home.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

…nilimuona mtu mwingine akiwa na mkokoteni wa matofaa nje ya duka la mzungu kwenye mtaa mwingine mjini yaounde (hilo lilikuwa kosa la kwanza, kujaribu nje ya duka la mzungu).

Engels

...i saw another man with an apple cart outside of a white person store in downtown yaounde (that was mistake one, trying outside a white person store).

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

katika kutembelea nyumba fulani ya maonesho, nilimuona jamaa mmoja akitazama orodha ya mapambano yaliyopiganwa na simón bolívar, ambaye ni mpigania uhuru wa venezuela, colombia, ecuador, perú and bolivia. kulikuwa na majina ya mapambano pasipo kuwa na kiashiria cha mahali ambapo mapambano hayo yalipofanyikia, na nilisimama pembeni mwa mtalii huyu na kisha nilianza na somo nililojifunza shuleni miaka mingi iliyopita: carabobo, venezuela; boyacá, bogotá, pichincha, ecuador; na junín na ayacucho, perú (nchi yako kwa hakika).

Engels

during a visit to one museum, i saw a guy looking at a list of battles fought by simón bolívar, the liberator of venezuela, colombia, ecuador, perú and bolivia. there were the names of the battles with no indication of the where they'd been fought, and i stood by next to this tourist and started with a lesson learnt long ago at school: carabobo, venezuela; boyacá, bogotá, pichincha, ecuador; and junín and ayacucho, perú (country of yours truly).

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Krijg een betere vertaling met
7,747,777,774 menselijke bijdragen

Gebruikers vragen nu voor assistentie



Wij gebruiken cookies om u de best mogelijke ervaring op onze website te bieden. Door de website verder te gebruiken, geeft u toestemming voor het gebruik van cookies. Klik hier voor meer informatie. OK