Je was op zoek naar: sahihi na muhuri wa mwajiri (Swahili - Engels)

Computervertaling

Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.

Swahili

English

Info

Swahili

sahihi na muhuri wa mwajiri

English

 

Van: Machinevertaling
Stel een betere vertaling voor
Kwaliteit:

Menselijke bijdragen

Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.

Voeg een vertaling toe

Swahili

Engels

Info

Swahili

bw chikwanda yuko sahihi na ameelewa tatizo letu.

Engels

mr chikwanda is spot on with his diagnosis.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

ilitokea tu kwamba tulikuwa mahali sahihi kwa muda sahihi na mambo yakajipa nasi tupo pamoja.

Engels

we just happened to be at the right place at the right time and things worked out.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

bila majibu bayana kwa maswali haya, hatuwezi kuafikia upimaji haraka na sahihi na matibabu faafu.

Engels

without clear answers to these questions, we cannot achieve fast and accurate diagnosis and effective treatment.

Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

kama nchi inaelekea kwenye mwelekeo sahihi na museveni anafanikiwa kwa alama za juu, mantiki ni kwamba hakuna tatizo.

Engels

if the country is going in the right direction and museveni achieves high marks, the logic is there is no problem.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

kwa hivyo nakupa pete hii kama ishara kwamba wewe ni mke wa chaguo langu na kama muhuri wa ahadi yetu ya upendo usioisha na uaminifu, kwa jina la baba, mwana na roho mtakatifu.

Engels

therefore i give you this ring as a token that you are the wife of my choice and as a seal to our pledge of unending love and fidelity, in the name of the father, the son and the holy spirit.

Laatste Update: 2023-12-30
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

agizo lilitiwa sahihi na wizara ya elimu kama hatua ya kuzuia lililenga kuzuia kuenea kwa magonjwa ya pumu kuhusiana na janga kubwa la virusi vya korona la who.

Engels

an order signed by the ministry of education as a preventative measure aims to prevent the spread of respiratory diseases in connection with the who coronavirus pandemic.

Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

"si kazi rahisi kwa vijana wa kipalestina na kiyahudi kushinda idadi kubwa ya taarifa zisizo sahihi na imani potofu ambazo zinafundishwa mmoja kuhusu mwingine.

Engels

it is no simple task for israeli and palestinian youth to overcome the vast amount of misinformation and stereotypes they are taught about one another.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak

Swahili

@misteralbie: kwa mara nyingine tabia yetu ya kutokuwa na ufahamu sahihi na maandalizi dhidi ya matukio kama haya yanatugharimu #firehydrants #moiavenueblast

Engels

@misteralbie: again our lack of proper disaster awareness and preparedness bites us in our behinds. #firehydrants etc #moiavenueblast

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

tangu kuanza kwa kampeni za uchaguzi mkuu, vijana wanaotumia mtandao wa facebook walithibitisha kuwa mawazo yangu hayakuwa sahihi; na ni kweli ninakiri kuwa, tamko langu halikuwa sahihi.

Engels

since (the start of the) national election campaign, young people on facebook have proven me wrong; and yes, i admit that i made a wrong comment.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

sheria ya kazi haiwahusu wahamiaji wanaofanya kazi za ndani na badala yake wanakabiliwa na taratibu kali za uhamiaji chini ya mfumo wa mwajiri-mfadhili mahususi- mfumo wa kafala- mfumo unaowaweka wafanyakazi katika hatari ya kukandamizwa na kudhalilishwa.

Engels

migrant domestic workers are excluded from the labor law and subject to restrictive immigration rules based on employer-specific sponsorship—the kafala system—which put workers at risk of exploitation and abuse.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

tuzo za blogu nchini kenya, ni mradi wa umoja wa wanablogu wa kenya (bake) , wanakusudia kuwazawadia wnaablogu wanaobandika posti zao mara kwa mara, wenye maudhui sahihi na yenye kusaidia, wabunifu na wenye mambo mapya.

Engels

the kenyan blog awards, an initiative of the bloggers association of kenya (bake), seeks to reward bloggers that post on a regular basis, have great and useful content, are creative and innovative.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

baadhi ya watu wanahisi kuwa " kupima thamani ya kazi za nyumbani zisizo za malipo kimantiki ni sahihi na ni jambo linalowezekana kujadiliwa, pamoja na kuwa, kulifanya jambo hili kuwa la lazima kwa waume kuwalipa wake zao asilimia fulani ya fedha za ujira wao kama njia ya kufidia kazi wanazozifanya wake zao nyumbani, kwa baadae linaweza kuwa si jambo zuri.

Engels

some feel that "measuring the value of unpaid work at home is conceptually correct and well worth trying", though making it mandatory for husbands to pay out a fixed percentage of their salaries in lieu of this work may be the wrong way forward.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak

Enkele menselijke vertalingen met lage relevantie werden verborgen.
Toon lage-relevantie resultaten.

Krijg een betere vertaling met
7,783,794,726 menselijke bijdragen

Gebruikers vragen nu voor assistentie



Wij gebruiken cookies om u de best mogelijke ervaring op onze website te bieden. Door de website verder te gebruiken, geeft u toestemming voor het gebruik van cookies. Klik hier voor meer informatie. OK