Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van: Machinevertaling
Stel een betere vertaling voor
Kwaliteit:
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
nunua mchezo wa video.
buy a video game.m
Laatste Update: 2020-12-27
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
kidude cha mchezo wa video
playstation
Laatste Update: 2020-08-07
Gebruiksfrequentie: 2
Kwaliteit:
Referentie:
jordan: ubloga wa video wa malkia rania
jordan: queen rania's video blogging · global voices
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
azerbaijan: baada ya hukumu ya wanablogu wa video
azerbaijan: more reaction to video blogger trial verdict · global voices
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
ni lazima mtengenezaji wa video, na sio mlalamikaji, kuthibitisha kwamba ana haki ya kuweka video hiyo.
it is incumbent on the video's creator, and not the complainant, to prove that he or she has the right to present the video.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
mwanablogu na mwanahabari wa video menna alaa leo hii ameshambuliwa na waandamanaji wenye hasira wanaomwunga mkono morsi.
blogger and video journalist menna alaa was attacked by angry pro-morsi supporters today.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
siwezi kuamini kuwa usambazaji wa video hizi bado unaendelea lakini haifai kwa mtu kuwaunga mkono isis kwa kusambaza video hizi.
can't believe this bears repeating but one should not empower isis by publishing their pr materials.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
video hii ya kutisha, ikiwa katika mfumo wa video ya kuhaririwa, ilisambaa kwa haraka sana katika mitandao ya kijamii.
the grotesque video, in the form of screen-grabs, quickly spread in social media.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
video ya wimbo wake imesifika sana na ilichaguliwa kuwa wimbo bora wa video wa mwaka 2013 na majaji wa maonesho maarufu ya mwaka yanayoitwa zlatna buba mara.
the music video received critical acclaim and was selected the best video of 2013 by the jury of popular annual manifestation zlatna buba mara.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
baadhi ya matukio yanaendeshwa kwa namna mbili, hivyo waweza kutembelea ukurasa maalumu wa video wa kongamano na kisha uchague kati ya namna hizo mbili.
some parts of the program run on two tracks, and you can check the summit website video page to chose between streams.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
tena, ni serikari gani kandamizi ambayo itataka ukweli usemwe juu ya jinsi ilivyo kiasi cha kuzuia urushwaji wa video ambayo mtu yoyote anaweza kuipata?
again, which oppressive regime would want to have the truth told about how it entrenches its power blown open in a video clip that can be accessed by all?
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
sauti za wa-papua ni mkakati wa utetezi kupitia uandaaji wa video unaowawezesha wanaharakati wa papua ya magharibi kutengeneza filamu fupi zinazosimulia habari zao pamoja na kuelezea harakati za maisha yao ya kila siku.
papuan voices is a video-production advocacy initiative that allows west papua activists to make their own short films that tell their stories and describe their everyday struggles.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
ulinganishaji wa kisa hicho na kingine kilichotokea mwaka jana cha mwanamke mmoja katika wilaya ya minhang shanghai aliyewatupia mafundi waliokuwa wakijiandaa kuvunja nyumba yake mabomu ya petroli aliyoyatengeneza, katika eneo ambapo kutakuwa kitovu cha usafirishaji kwa ajili ya eneo la kibiashara la shanghai 2010.
comparisons were made with a case that happened last year, where a woman in the minhang district of shanghai threw self-made petrol bombs at a demolition crew preparing to destroy her house, which is the site of a transportation hub for the 2010 shanghai expo.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
gari la afisa wa polisi wa serikali ya mtaa lililokuwa na namba oku 8877, milio ya bunduki ilirekodiwa kutoka kwenye gari hilo– kwa mujibu wa mpakiaji wa video, felipe amorim , haikuwa risasi ya mpira.
an official local government car with plate number oku 8877 was taped firing gun shots – according to the author of the video, felipe amorim , it was not rubber bullet.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
askari polisi wa georgia wanaripotiwa kuwa wameweza kuwafuatilia na kuwapata waharibifu wa fikra waliohusika katika utengenezaji wa video za masihara ‘chafu na zinazotusi’ ambazo zilimlenga mkuu wa kanisa la orthodox na kusababisha aibu katika taifa zima kwenye nchi hii yenye kufuata dini kwa bidii.
the georgian police are reported to have tracked down the thought criminals responsible for "indecent and insulting" satirical videos which targeted the head of the orthodox church and caused a nationwide scandal in this fervently religious country.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak
“tulitengeneza ustream kwa mabadiliko kutambua jitihada za watengenezaji hawa mahiri wa video za kijamii, na tunatumaini kuwatia moyo wengine kufikiri nje ya kuta na kukuza nguvu ya video za moja kwa moja,” anasema brad hunstable, mkurugenzi mtendaji na mwanzilishi wa ustream.
“we created ustream for change to recognize the efforts of these inspiring citizen broadcasters, and we hope to encourage others to think beyond four walls and harness the power of live video,” says brad hunstable, ustream’s ceo and founder.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
inaonekana kwamba wageni wengi katika youtube walikubaliana na alivyosema (mwanawe malkia), kwani takribani watazamaji milioni 2 waliangalia mlolongo huo wa video uliorushwa katika youtube; ambao ulijumisha pamoja na kanda zake mwenyewe, michango kutoka kwa wanamuziki, wachekeshaji na raia mbalimbali wa jordan.
it seems that youtube visitors agreed with him on what he said, as around 2 million viewers watched the video episodes broadcasted on youtube; which include along with her recording, contributions from different jordanian musicians, comedians and citizens.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie: