Je was op zoek naar: wafuatiliaji (Swahili - Engels)

Computervertaling

Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.

Swahili

English

Info

Swahili

wafuatiliaji

English

 

Van: Machinevertaling
Stel een betere vertaling voor
Kwaliteit:

Menselijke bijdragen

Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.

Voeg een vertaling toe

Swahili

Engels

Info

Swahili

wafuatiliaji wake wanaishi kwenye mabara yote na wanatoka kwenye nchi mbambali.

Engels

her followers span continents and countries.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

naijeria: wafuatiliaji wa twita unaoweza kuwafuatilia wakati wa uchaguzi wa naijeria mwaka 2011

Engels

nigeria: tweeps to follow during nigeria elections 2011 · global voices this post is part of our special coverage nigeria elections 2011.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

kulikuwa na wasiwasi kwamba huenda mwendeshaji huyo alifariki pasipo wafuatiliaji wake kuwa na habari:

Engels

there were fears that the administrator may have passed away without the knowledge of his followers:

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

baadhi ya wafuatiliaji wa masuala ya kisiasa wanaamini kuwa kuahirishwa kwa uchaguzi ni mbinu za kisiasa zilizo na lengo la kukipendelea chama tawala.

Engels

some political observers believe that the postponement is a political strategy meant to favour the ruling party.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

lakini wafuatiliaji wa uhuru wa vyombo vya habari waliainisha vitisho vinavyoendelea, changamoto na mashambulizi waliyokwisha kuyapata waandishi wa habari waishio nchini myanmar kwa mwaka uliopita.

Engels

but press freedom watchdogs also highlighted the continuing threats, difficulties and attacks experienced by myanmar-based journalists throughout the past year.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

kama kwa ren zhiqiang (@任志强), mfanyabiashara mkubwa wa mashamba aliye na wafuatiliaji kwenye weibo wasiopungua milioni 14, alitoa maoni yake ,

Engels

as ren zhiqiang (@任志强), a real estate tycoon with more than 14 million followers on weibo, opined ,

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

harakati hizi zilianzishwa katika mtandao wa facebook kwa jina la occupyghana siku ya tarehe 28 juni, na hadi kufikia julai 1, ilikuwa na wafuatiliaji zaidi ya 3,000 waliokuwa wakiunga mkono maandamano haya.

Engels

the movement was launched on facebook as occupyghana on june 28, and by july 1 it had over 3,000 followers in support of the protest.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

vyombo vya habari vya serikali havikutangaza habari za maandamano hayo, na katika hali ya kushangaza wafuatiliaji wa mtandaoni wamefuta habari na picha zinazohusiana na maandamano hayo kwenye mtandao maarufu wa kijamii uitwao sina weibo tangu mei 4, 2013.

Engels

china's state media kept the news of the protest quiet, and online censors have aggressively deleted information and photos about the demonstration on popular microblogging site sina weibo since may 4, 2013.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

gerald bäck wa bäck blog, anayefanya kazi ya biashara ya uangalizi wa vyombo vya habari, aligundua kuwa idadi kuu ya maingizo ya twita, yaani idadi maalumu ya wafuatiliaji yanayoipata wao, ilikuwa 386,860.

Engels

gerald bäck of bäck blog, who works in the media observation business, found out that the gross reach of the tweets, i.e. the unique number of followers exposed to them, was 386,860.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

@nadiae: mfanyakazi wa kike pale islamonline analeza nia yake ya kulala ofisini kutumia begi la kulalia ili kuendeleza mgomo. @nadiae: #mfanyakazi wa islamonline, @mos3abof, anatoa wito wa wafuatiliaji kutoa uungaji mkono kwa yale yanayochapishwa na tovuti

Engels

@nadiae : female employee at #islamonline talking about staying overnight at the office in her sleeping bag to continue her strike @nadiae : #islamonline employee @mos3abof calls on audience to backup website content

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Krijg een betere vertaling met
7,770,715,075 menselijke bijdragen

Gebruikers vragen nu voor assistentie



Wij gebruiken cookies om u de best mogelijke ervaring op onze website te bieden. Door de website verder te gebruiken, geeft u toestemming voor het gebruik van cookies. Klik hier voor meer informatie. OK