Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
waandaaji walihitaji siku 15 ili kuandaa viwanja kwa ajili ya paralympiki mara baada ya kumalizika kwa mashindano ya london olympiki, 2012.
the organizers needed 15 days after the london 2012 olympics to rearrange and make infrastructures accessible.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
victor alionesha uzalendo wa kweli kwa nchi yake hata pale alipokuwa akifanya kazi na taasisi ya straight talk foundation ya kampala, alipokuwa akikutana na watu katika shughuli zake aligundua kuwa watu wa kaskazini mwa uganda kuna mengine zaidi walistahili na walihitaji mbali na vipeperushi.
victor’s heart was home even when he worked with straight talk foundation in kampala, interacting with the people in the field made him realize that the people of northern uganda wanted more than hand outs but wanted and deserved more.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
hata hivyo, 80% yao walihitaji mashine za kusaidia kupumua, kuliko wagonjwa wa covid-19 na hii inaoana na hali ya ukali wa mers kuliko covid-19.
however, 80% of them required ventilation support, much more than covid-19 patients and consistent with the higher lethality of mers than of covid-19.
Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
mapema machi 2020, madaktari katika maeneo yaliyoathirika ya italia walifafanua hali ambapo 10% ya wagonjwa wa covid-19 walihitaji tiba ya kina na vyanzo vya habari viliripoti kwamba hospitali na vitengo vya kushughulikia wagonjwa mahututi tayari vilikuwa vimejaa pomoni.
early march 2020, doctors in the affected regions of italy described a situation in which ca 10% of patients with covid-19 required intensive care and media sources reported that hospitals and intensive care units in these regions had already reached their maximum capacity.
Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit: