Je was op zoek naar: yea lakini si sahi (Swahili - Engels)

Computervertaling

Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.

Swahili

English

Info

Swahili

yea lakini si sahi

English

 

Van: Machinevertaling
Stel een betere vertaling voor
Kwaliteit:

Menselijke bijdragen

Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.

Voeg een vertaling toe

Swahili

Engels

Info

Swahili

lakini si sasahivi.

Engels

but not now.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

lakini si rahisi hivyo.

Engels

but it is not quite so simple.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

akacheka na kushusha bei lakini si sana.

Engels

he laughed and went down in price but not enough.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

lakini si kwa sababu yana kelele na yanakera.

Engels

but it's not because they're loud and annoying.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

lakini si kila mmoja anayejali kupotea kwa lugha.

Engels

but not everyone is concerned with disappearing languages.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

lakini si wote waliopigwa butwaa na "radi ya bolt".

Engels

but not everyone was awe-struck by "the lightning bolt".

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak

Swahili

lakini si kule kuwa mchezo wa kuigiza pekee ndiko kulikonisumbua.

Engels

but it was not that it was a farce alone that troubled me.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

kweli mnakutana, lakini si kwa ajili ya kula chakula cha bwana!

Engels

when ye come together therefore into one place, this is not to eat the lord's supper.

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

hakika katika haya ipo ishara, lakini si wengi wao walio kuwa waumini.

Engels

in that is a sign, but most of them are not believers.

Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

maandamano yaliendelea kwenye nchi hiyo, lakini si kwa kiwango kile kile kilichofanyika kabla ya mashindano hayo.

Engels

protests continued in the country, but not at the same scale as the lead-up to the tournament.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

vitu vyote ni halali, lakini si vyote vinafaa. vitu vyote ni halali lakini si vyote vinajenga.

Engels

all things are lawful for me, but all things are not expedient: all things are lawful for me, but all things edify not.

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

na mwisho lakini si kwa uchache, blogu inayopinga ubaguzi wa rangi, racism review inatuacha na wazo juu ya kusikiliza somo la king:

Engels

and last but not least, the anti-racist blog racism review leaves us with a thought about heeding king's lessons:

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

baadhi ya wnaachama wa sadc wamethibitisha kuyaunga mkono matokeo hayo kwa kudai kuwa uchaguzi ulikuwa huru "lakini si lazima uwe wa haki."

Engels

some sadcc members have qualified their endorsements by arguing that the election was free "but not necessarily fair."

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak

Swahili

katika gereza la kality vyote hivyo vinaruhusiwa lakini si kirahisi kwa waandishi hawa na wengine waliohukumiwa kwa makosa yanayohusishwa na "ugaidi".

Engels

in kality prison both are allowed but not easily to these journalists and others who are convicted in relation to ‘terrorism’.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak

Swahili

mchuzi huo huwa na chumvi, mdalasini na kamuo dogo la ndimu huufanya uwe mtamu (lakini si mzuri sana) kama kinywaji kinachoambatana na mlo.

Engels

the cooking stock flavoured with salt, cumin and a squeeze of lemon makes a delicious (but not at all pretty) side drink.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

mwisho lakini si kwa uzito ni mwitikio wa vladimir putin mwenyewe, aliyeliambia shirika la habari la itar-tass kwamba kyiv inawajibika kwa anga la ukraine mashariki inayodhibitiwa na waasi.

Engels

last but not least is the reaction of vladimir putin himself, who told itar-tass that kyiv is accountable for the skies over ukraine's rebel-controlled east.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

yesu akamwambia, "aliyekwisha oga hana lazima ya kunawa isipokuwa miguu, maana amekwisha takata mwili wote. ninyi mmetakata, lakini si nyote."

Engels

jesus saith to him, he that is washed needeth not save to wash his feet, but is clean every whit: and ye are clean, but not all.

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak

Swahili

najua taabu zako; najua pia umaskini wako, ingawaje kwa kweli wewe ni tajiri; najua kashfa walizokufanyia wale wanaojiita wayahudi lakini si wayahudi wa kweli, bali ni kundi lake shetani.

Engels

i know thy works, and tribulation, and poverty, (but thou art rich) and i know the blasphemy of them which say they are jews, and are not, but are the synagogue of satan.

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

lakini, si kila mtu anao ujuzi huu. maana wako watu wengine waliokwisha zoea sanamu, watu ambao mpaka hivi sasa wanapokula vyakula huviona bado kama vyakula vilivyotambikiwa sanamu. na kwa vile dhamiri zao ni dhaifu, hutiwa unajisi.

Engels

howbeit there is not in every man that knowledge: for some with conscience of the idol unto this hour eat it as a thing offered unto an idol; and their conscience being weak is defiled.

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

kileo ni kiua vijidudu cha haraka, lakini si papo hapo, kwa hivyo hii bado inahitaji sekunde zile 20 za kusugua mikono yako kwa pamoja, na kuhakikisha kwamba kila sehemu ya ngozi imepata maji, na kisha ni lazima usubiri karibu dakika nyingine moja, kwa kileo hicho kukauka kabisa.

Engels

alcohol is a quick germ-killer, but it's not quite instant, so this still requires the same 20 seconds of rubbing your hands together, making sure that every single scrap of skin gets wet, and then you have to wait about another minute, for the alcohol to completely dry.

Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Krijg een betere vertaling met
7,789,131,448 menselijke bijdragen

Gebruikers vragen nu voor assistentie



Wij gebruiken cookies om u de best mogelijke ervaring op onze website te bieden. Door de website verder te gebruiken, geeft u toestemming voor het gebruik van cookies. Klik hier voor meer informatie. OK