Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
lugha zinazohusiana
related languages
Laatste Update: 2024-03-19
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
makala zinazohusiana na suala hili zilizoandikwa na zamanta
related articles by zemanta
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
habari zozote zinazohusiana na harakati za tiananmen bado zinazuiwa nchini china.
any information related to the tiananmen movement is still censored in china.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
huu hapa ni mkusanyiko wa habari zilizotawala kwenye twita zinazohusiana na kura hiyo ya maoni.
this is a roundup of tweets related to the referendum.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
hivi sasa katrina huandika makala mbalimbali zinazohusiana na haki na utetezi wa walio wachache katika jamii.
now katrina writes advocacy pieces dealing with minority rights and protection.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
wachapishaji wengi wa kisayansi waliandika karatasi za kisayansi zinazohusiana na mkurupuko kupatikana na uwezo huru wa ufikiaji.
many scientific publishers made scientific papers related to the outbreak available with open access.
Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
hii ni ya kwanza kabisa katika mfululizo wa makala ambazo zitavinjari mada zinazohusiana kwa kupitia macho ya wanablogu duniani kote.
this is the first in a series of posts that will explore related issues through the eyes of bloggers worldwide.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
shirika la kutetea haki za binadamu la amnesty international limeitaka pakistani kuzifanyia mabadiliko sheria zinazohusiana na kukashifu imani:
amnesty international urges pakistan to reform blasphemy laws:
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
ukurasa wa facebook umeanzishwa ili kumwunga mkono mwanablogu huyo aliyefungwa, ukiwa na nakala ya barua zake na habari mpya zinazohusiana na hali yake.
a facebook page has been launched to support the jailed blogger, with a copies of his letters and updates on his situation.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
mradi huo unatumia mtandao wa twita kuposti habari zinazohusiana na ebola kila siku na kuratibu majadiliano yanayohusu virusi vya eloba kati ya wataalam na umma wa wananchi.
the initiative uses twitter to post daily ebola-related news and to organise ebola chat sessions between experts and the general public:
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
akijaribu kuachana na utaratibu wa mtangulizi wake wa kuficha taarifa zake zinazohusiana na afya, msaidizi wake wa habari amos chanda alisema kwenye taarifa yake:
departing from his predecessor’s practice of not announcing his health-related matters, lungu’s press aide amos chanda said in a statement:
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
ben taylor aweka mkusanyiko wa makala zinazohusiana na kuvuliwa madaraka kwa zitto kabwe,mbunge maarufu na kijana wa chama kikuu cha upinzani nchini tanzania, chadema.
ben taylor shares a collection of articles on the sacking of zitto kabwe, a popular young member of parliament with the main tanzanian opposition party, chadema.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
nshima, aina ya ugali unaopikwa kwa unga wa mahindi, umewahi kuwa sababu ya migogoro ya kifamilia na kusababisha ghasia kadhaa zinazohusiana na chakula nchini zambia katika nyakati tofauti.
nshima, the stodgy porridge-like substance cooked out of maize-meal, has divided families and triggered food riots in zambia at one time or other.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
connectas ni mradi usio wa kibiashara wenye mwelekeo wa kiuandishi wa habari wenye lengo la kuhamasisha uzalishaji, ushirikishwaji, mafunzo na usambazaji wa taarifa zinazohusiana na mada ambazo ni muhimu kwa maendeleo ya bara hilo":
connectas is a "non-profit journalistic initiative with the aim of promoting production, sharing, training and disseminating information related to topics that are fundamental for development in the americas":
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak
katika blogu iliyoanzishwa na familia ya derakshan, edalat baraye hossein derakhshan(ikiwa na maana ya haki kwa ajili ya hossein derakshan) bado hakuna taarifa mpya zinazohusiana na taarifa hii.
in a blog created by derakhshan's family, edalat baraye hossein derakhshan (meaning justice for hossein derakhshan) there are still no reports or updates on this topic.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
habari za mchana, kufuatia barua pepe yangu hapa chini, je, unaweza kujibu maswali yaliyo hapa chini: *tafadhali toa nakala za vyeti vyovyote, vijitabu, maswali au video ambazo lyft ilikupa ulipoanza kuziendesha *tafadhali toa nakala za rekodi zozote zinazohusiana na biashara ya gari lako ambalo lilihusika katika ajali ikiwa huna rekodi yoyote kati ya hizi tafadhali nijulishe haraka iwezekanavyo. asante.
good afternoon, following up to my email below, could you please respond to the questions below: *please provide copies of any certifications, booklets, questions or videos that lyft provided to you when you started driving for them *please provide copies any records related to the trade in of your vehicle that was involved in the accident if you do not have any of these records please let me know as soon as possible. thank you.
Laatste Update: 2023-06-21
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit: