Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
na pamoja nao wake zao wenye kutuliza macho, hirimu zao.
et auprès d'eux seront les belles au regard chaste, toutes du même âge.
Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
covid-19 inatibiwa kwa kutuliza dalili na kuzuia matatizo.
le traitement de la covid-19 consiste à soulager les symptômes et prévenir les complications.
Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
kwa jinsi polisi wa kutuliza ghasia wanavyoshambulia maidan majeruhi kadhaa waliripotiwa maeneo yote.
alors que les forces spéciales prennent maidan d’assaut, chaque camp fait état de nombreux blessés.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
muda halisi unaonyesha kwamba ilikuwa ni baada ya polisi na vikosi maalumu vya kutuliza ghasia vilipoanza kupambana na waandamanaji karibu na jengo la bunge.
l’heure indique que c’est après le début de l’assaut mené par la police et les forces spéciales contre les manifestants près du parlement.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
polisi wa kutuliza ghasia walianza kujaribu kuwatuliza waandamanaji waliokuwa wamejikinga na moshi wa mabomu ya machozi na maji ya kuwasha kuanzia saa 12 jioni tarehe 28 septemba.
la police anti-émeute a tenté à partir de 18 heures le 28 septembre, de disperser les manifestants à coups de matraques, de gaz lacrymogènes et de spray au poivre.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
bila ya maji walianza kufyonza mawe ili kutuliza kiu, pia walijaribu kunyonya umande kutoka kwenye matope kwa kuweka kitambaa kati ya midomo yao na tope lenye nyevunyevu.
sans eau ils ont essayé de sucer des cailloux pour apaiser leur soif, et ont aussi essayé d'aspirer l'humidité de la boue, en mettant un bout de vêtement entre leur bouche et la boue humide.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
wako watu wengine wanaochukulia hii kama fursa ya kipekee ya kukomesha mfumo wa kuwa na askari wa kutuliza ghasia, ambao huwa una kawaida ya kupelekea vijana katika utumishi wa jeshi.
vu sa réaction égoïste, que vont penser les autres policiers de cette unité ?… si vous avez fait votre service militaire, vous devez savoir de quoi je parle
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
kuongeza kuelewa kwa umma kuhusu suala hili, katika mwaka 2010 mradi wa ewaso wa simba uliandaa mbio za nusu-marathon kwa lengo la "kutuliza migogoro kati ya binadamu na wanyamapori kwa kushirikisha jamii katika uhifadhi wa simba."
pour sensibiliser l’opinion publique à cette question, en 2010 l’ewaso lions project a organisé un semi-marathon dans le but de “neutraliser les conflits entre l’homme et la faune sauvage en impliquant la communauté locale dans la préservation des lions.”
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak