Je was op zoek naar: rasilimali (Swahili - Spaans)

Computervertaling

Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.

Swahili

Spanish

Info

Swahili

rasilimali

Spanish

 

Van: Machinevertaling
Stel een betere vertaling voor
Kwaliteit:

Menselijke bijdragen

Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.

Voeg een vertaling toe

Swahili

Spaans

Info

Swahili

kutuma rasilimali kwenda sehemu maskini kuna tija.

Spaans

enviar recursos a los lugares empobrecidos tiene valor.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

wasomaji, jisikieni huru kuongeza rasilimali zenu kwenye sehemu ya maoni.

Spaans

lectores, podéis añadir vuestras propias fuentes en la sección de los comentarios.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

rasilimali nyingine zaidi zinaweza kupatikana kwenye blogu na tovuti za mashirika ya kimataifa.

Spaans

se pueden encontrar muchos recursos en blogs y páginas web de organizaciones internacionales.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

misaada inamiminika kutoka duniani kote lakini hakuna mfumo madhubuti wa usambazaji wa rasilimali hizi:

Spaans

las donaciones se desbordan, pero las víctimas del tifón siguen con hambre y frío.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

hii itakuwa kupoteza fedha, muda, rasilimali na kusumbua vichwa vya watu kama mambo yale yale yatatokea.

Spaans

algunos de ellos son seguidores del pdrc y es probable que boicoteen las elecciones totalmente, lo que supondría malgastar dinero, tiempo, recursos y un dolor de cabeza para todo el mundo si ocurriera otra anulación.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

badala yake, tunafuatilia lengo hili kwa kuwezesha uhamiaji wa watu ili kwamba waweze kusafiri kwenda kule ambapo rasilimali zipo.

Spaans

en cambio, nosotros buscamos el objetivo directamente, liberalizando el flujo social para que viajen allá donde estén los recursos.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

ukuaji wa uchumi wa tanzania kwa siku za usoni unadhaniwa kuongezeka kutokana na kipato kutokana na rasilimali za asili kama vile gesi katika mkoa wa mtwara.

Spaans

los pronósticos relativos al crecimiento económico del país están basados en ingresos futuros provenientes de la explotación de recursos naturales, como el gas de la región de mtwara.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

nchi yetu haiwezi kuendelea kuuza nje ya nchi kazi zetu, rasilimali yetu, na watu wetu wenye ujuzi kuzifadhili sera za kigeni ambazo hazijachunguzwa wala kuwekwa wazi...

Spaans

nuestro país no puede continuar exportando fuentes de trabajo, capital y gente capacitada en favor de políticas exteriores, que no son lo suficientemente examinadas y reveladas.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

hata hivyo, siku ya alhamisi mchana, wizara ya rasilimali watu ilitangaza kuwa wasingeweka bayana vigezo kwa mwaka huu (2012).

Spaans

pero el jueves 20, el ministerio de recursos humanos anunció que no publicarían los requistos este año.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

"tunashindwa kuingia mikataba inayohusu rasilimali kama ilivyokuwa kwenye uchimbaji madini na sasa katika mafuta na gesi kwa kuwa uwezo wetu bado ni mdogo,” alisema rutabanzibwa.

Spaans

"no logramos nuevos contratos en materia de recursos, como sucedía en minería, y actualmente en gas y petróleo, debido a que nuestra capacidad es muy baja,” afirmó rutabanzibwa.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak

Swahili

pamoja na kuwa hakuna uhusiano wa moja kwa moja na vurugu zilizotokea mtwara, uhusiano uliopo kati ya tpdc na statoil wapelekea wananchi wengi wa tanzania kuongeza umakini wao kwenye masuala ya mafuta na gesi, na pia kuongezeka miongoni mwao kwa kutoridhishwa na namna serikali inavyosimamia mikataba ya rasilimali za asili na namna inavyowashirikisha wananchi.

Spaans

aunque no está directamente relacionado con las protestas en mtwara, el asunto de tpdc-statoil resalta que los tanzanos tienen mayor conocimiento acerca de los cuestiones que rodean al petróleo y el gas y un creciente descontento con la manera en que los gobiernos manejan los contratos relacionados con recursos naturales y comunican esta información a sus ciudadanos.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

elimu ya watu wazima, elimu ya rasilimali watu, masomo ya utumizi uchumi, masomo ya mawasiliano na vyombo vya habari, masomo ya uchumi wa kimataifa na masomo ya sheria bado si kipaumbele cha serikali; na hivyo hakutakuwepo msamaha wa ada ya masomo kwa ajili ya wanafunzi watakaosoma masomo yaliyotajwa.

Spaans

la educación de adultos, estudios de economía aplicada, estudios de comunicaciones y medios, estudios de recursos humanos, economía internacional y derecho siguen sin ser los favoritos del gobierno; no se les asignará vacantes gratuitas .

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Krijg een betere vertaling met
7,759,348,247 menselijke bijdragen

Gebruikers vragen nu voor assistentie



Wij gebruiken cookies om u de best mogelijke ervaring op onze website te bieden. Door de website verder te gebruiken, geeft u toestemming voor het gebruik van cookies. Klik hier voor meer informatie. OK