Você procurou por: renewed (Inglês - Suaíli)

Tradução automática

Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.

English

Swahili

Informações

English

renewed

Swahili

 

De: Tradução automática
Sugerir uma tradução melhor
Qualidade:

Contribuições humanas

A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente

Adicionar uma tradução

Inglês

Suaíli

Informações

Inglês

and be renewed in the spirit of your mind;

Suaíli

jirekebisheni upya rohoni na katika fikira zenu.

Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

no remembrance from their lord comes to them lately renewed, but they listen to it yet playing,

Suaíli

hayawafikilii mawaidha mapya kutoka kwa mola wao mlezi ila huyasikiliza na huku wanafanya mchezo.

Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

regardless of the cynicism, there has been renewed vigor among the people of my generation regarding the 2011 elections.

Suaíli

bila kujali mashaka yaliyopo, kumekuwa na mwamko mpya kati ya watu wa kizazi changu juu ya uchaguzi wa 2011.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

on world diabetes day on november 14, india renewed its pledge to fight the growing diabetes menace in the country.

Suaíli

katika siku ya ugonjwa wa kisukari duniani inayoadhimishwa kila tarehe 14 novemba, india imedhamiria kukabiliana na janga la kuongezeka kwa wagonjwa wa kisukari ambao kwa sasa ni tishio nchini humo.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

renewed attention to haiti's restavec (sometimes restavek) system has also become an issue.

Suaíli

mkazo mpya kwa mfumo ya kihaiti wa restavek imekuwa suala la mjadala.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

never comes (aught) to them of a renewed message from their lord, but they listen to it as in jest,-

Suaíli

hayawafikilii mawaidha mapya kutoka kwa mola wao mlezi ila huyasikiliza na huku wanafanya mchezo.

Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

but as long as the chinese and other asians markets continue to provide markets for ivory trinkets and refuse to implement domestic enforcement, a renewed ban on trade in ivory will fail and we will continue to lose elephants.

Suaíli

lakini ikiwa wachina na waasia wengine wataendelea kuwa masoko ya pembe za ndovu na kukataa kufanyia kazi makubaliano ya ndani, katazo hili jipya kwa biashara ya pembe litashindwa na tutaendelea kupoteza tembo.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

and they say: "what! when we lie, hidden and lost, in the earth, shall we indeed be in a creation renewed?

Suaíli

nao husema: tutapo kwisha potea chini ya ardhi, ni kweli tutarudishwa katika umbo jipya?

Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Aviso: contém formatação HTML invisível

Inglês

as one of the people who have in the past complained about the seeming lack of new ideas for a “strategic engagement with africa” from the obama white house, i welcome renewed energy towards that direction.

Suaíli

kama mmoja wa watu waliolalamika sana siku za nyuma kuhusu kilichoonekana kuwa kukosekana kwa mawazo mapya ya "ushirikiano wa kimkakati na afrika" kutoka ikulu ya obama, ninauona mpango wa nishati kuwa na mwelekeo sahihi.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Aviso: contém formatação HTML invisível

Inglês

"certainly, the state over whose territory this occurred bears responsibility for this terrible tragedy. this tragedy would not have occurred if there were peace in this land, if the fighting had not renewed in the south-east of ukraine."

Suaíli

"kwa hakika, nchi ambayo mpaka wake ndiko tukio hili limetokea inawajibika kwa janga hili janga hili lisingetokea kama pangekuwa na amani kwenye nchi hiyo, kama mapigano yasingeibuka tena kusini mashariki mwa ukraine."

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Aviso: contém formatação HTML invisível

Consiga uma tradução melhor através
7,762,691,772 de colaborações humanas

Usuários estão solicitando auxílio neste momento:



Utilizamos cookies para aprimorar sua experiência. Se avançar no acesso a este site, você estará concordando com o uso dos nossos cookies. Saiba mais. OK