A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
venue
ukumbi
Última atualização: 2017-03-09
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
here is a map to the event venue.
hapa unaweza kuona ramani ya namna ya kufika eneo la tukio.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
packed venue for indonesia blogger festival scenes from the bloggers festival.
ukumbi uliojaa wa tamasha la blogu la indonesia taswira kutoka kwenye tamasha la blogu.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
twitter is also a popular online venue for following updates directly from kyiv.
twita ni uwanja maarufu pia kwa kufuatilia habari mpya zinazokuja kutoka kyiv.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
cebu provincial capitol building, cebu city, venue for the global voices summit 2015.
jengo la makao makuu ya jimbo la cebu, jijini cebu, mahal patakapofanyika mkutano mkuu wa global voices 2015.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
on march 25, more than 2,000 people protested outside the temporary election venue.
mnamo tarehe 25 machi, zaidi ya watu 2,000 waliandamana nje ya ukumbi wa muda wa uchaguzi.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
when the election result was released, thousands of demonstrators protested against the beijing manipulation of the election process outside the temporary election venue.
matokeo yalipotangazwa, maelfu ya waandamanaji walipinga uchezewaji huo wa mchakato wa uchaguzi. waliendesha maandamano hayo nje ya ukumbi wa muda wa uchaguzi.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
prime minister medvedev, who has been as silent on the issue of ukraine and its territorial integrity as his boss president putin, chose an odd venue when he finally decided to make his statement.
waziri mkuu medvedev, ambaye amekuwa kimya kuhusu hali ya mambo nchini ukraine kama mkuu wake wa kazi rais putin, hatimaye alichagua mahali pasipotarajiwa kusemea alipofikia uamuzi wa kutoa tamko.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
numbers of hifazat activists chased and physically assaulted ekushey television reporter nadia sharmin at bijoynagar on the path of the rally, and interrupted financial express reporter arafat ara at paltan, close to the event venue, when she was going to her office.
wanaharakati kadhaa wa hifazat walimkimbiza na kumdhalilisha kimwili mwandishi wa taarifa za habari wa televisheni ya ekushey ajulikanaye kwa jina la nadia sharmin huko bijoynagar, katika eneo la mkutanao huo, walimvamia mwandishi arafat ara wa duru za kiuchumi huko paltan, akiwa karibu na eneo hilo akielekea ofisini kwake.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
the most iconic locations in argentina were transformed into party venues and, unsurprisingly, the argentines at brazil's copacabana beach also celebrated:
maeneo mengi maarufu ya ajentina yaligeuzwa kuwa maeneo ya sherehe, na katika hali ya kushangaza, wa-ajentina waliokuwa kwenye ufukwe wa copacabana nchini brazili walisherehekea pia:
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência: