Você procurou por: iliyosababisha (Suaíli - Inglês)

Tradução automática

Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.

Swahili

English

Informações

Swahili

iliyosababisha

English

 

De: Tradução automática
Sugerir uma tradução melhor
Qualidade:

Contribuições humanas

A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente

Adicionar uma tradução

Suaíli

Inglês

Informações

Suaíli

hata hivyo, haikutaja yaliyomo kwenye hati ya makubaliano iliyosababisha mkanganyiko.

Inglês

however, it didn't mention the content of the controversial mou.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

alikataa kufanya hivyo, hali iliyosababisha azomewe na wabunge wa chama cha mapinduzi.

Inglês

he refused, upon which a shouting match broke out.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

matokeo sawa na hayo yaliripotiwa katika tafiti mbili za hivi majuzi za sampuli ya familia na sampuli iliyosababisha na mtu ambaye hakuonyesha dalili za ugonjwa.

Inglês

similar findings were reported in two recent studies of a family cluster and a cluster caused by transmission from an asymptomatic individual.

Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

"awali ya yote, ak-47 ndiyo silaha iliyosababisha idadi kubwa zaidi ya vifo kuliko silaha nyingine yoyote duniani.

Inglês

"first of all, the ak-47 has caused the most deaths by any weapon on the planet.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Aviso: contém formatação HTML invisível

Suaíli

kufikia alhamisi, shirika la utangazaji marekani iliripoti kulikuwa na angalau visa 126,000 ya covid-19 ulimwenguni, iliyosababisha vifo zaidi ya 4,600.

Inglês

as of thursday, associated press reported there were at least 126,000 cases of covid-19 worldwide, resulting in over 4,600 deaths.

Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

kwa sababu yoyote iliyosababisha kuanguka kwa ndege ya shirika la ndege la malaysia boeing 777 kwa mara ya pili ndani ya siku, na kupoteza watu 537 katika majanga mawili ya anga, haisaidii kuinua imani ya wasafiri kwa shirika hilo la ndege.

Inglês

whatever the causes for another mas boeing 777 for going down a second time in 133 days, losing 537 people in two air disasters does not help lift passengers' confidence in the national airline.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

yi na dri (vifupisho vya majina) waliona haja kubwa ya kuunda shirika mahususi kabisa la kiafrika, iliyosababisha kuundwa kwa shirika hilo la kuwahudumia vijana walemavu wa ki-afrika.

Inglês

the yi and dri saw a dire need to set up a specifically african organization, which gave rise to the african youth with disabilities network (aywdn).

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

anwani ile bandia ya twita (inayohisiwa kuwa iliibwa) @pmmeleszenawi iliyosababisha kuibuka kwa mjadala huo hapo juu, vilevile inaibua swali kwamba kwa nini viongozi wengi wa umma na wanasiasa barani afrika hawataki kuthibitisha anwani zao za twita.

Inglês

the fake (supposedly hacked) @pmmeleszenawi twitter account, which managed to set off the debate mentioned above, also raises the question of why many public figures and politicians in africa haven’t had their twitter accounts verified.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Consiga uma tradução melhor através
7,735,975,316 de colaborações humanas

Usuários estão solicitando auxílio neste momento:



Utilizamos cookies para aprimorar sua experiência. Se avançar no acesso a este site, você estará concordando com o uso dos nossos cookies. Saiba mais. OK