Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
wakati huo, wale watu walikuwa wanamngoja zakariya huku wakishangaa juu ya kukawia kwake hekaluni.
and the people waited for zacharias, and marvelled that he tarried so long in the temple.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
sasa basi, ya nini kukawia zaidi? simama ubatizwe na uondolewe dhambi zako kwa kuliungama jina lake.
and now why tarriest thou? arise, and be baptized, and wash away thy sins, calling on the name of the lord.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
mara baada ya paulo kuona ono hilo, tulijitayarisha kwenda makedonia bila kukawia, tukiwa na hakika kwamba mungu ametuita tuwapelekee habari njema.
and after he had seen the vision, immediately we endeavored to go into macedonia, assuredly gathering that the lord had called us for to preach the gospel unto them.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
lakini mwenye kufanya haraka katika siku mbili (akarejea) si dhambi juu yake; na mwenye kukawia pia si dhambi juu yake, kwa mwenye kumchamngu.
but if any one hastens to leave in two days, there is no blame on him, and if any one stays on, there is no blame on him, if his aim is to do right.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
lakini mwenye kufanya haraka katika siku mbili (akarejea) si dhambi juu yake; na mwenye kukawia pia si dhambi juu yake, kwa mwenye kumchamngu. na mcheni mwenyezi mungu, na jueni kwamba nyinyi mtakusanywa kwake.
and laud allah during the numbered days; then whoever hastens off in two days, there is no blame on him, and whoever remains behind, there is no blame on him, (this is) for him who guards (against evil), and be careful (of your duty) to allah, and know that you shall be gathered together to him.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade: