Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
kuvuja kwa paa
galvanized leakage
Última atualização: 2023-05-24
Frequência de uso: 4
Qualidade:
watanzania kimsingi hawaridhishwi na suala la uwazi wa mikataba inayohusu rasilimali zao, tukio la kuvuja kwa hati ya makubaliano limechochea zaidi watanzania kutokuiamini serikali yao.
tanzanians are not particularly pampered with regard to transparency around natural resources contracts, but this latest affair gives rise to even further mistrust.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
wakati kuvuja damu kwenye usiku wa harusi bado ni ushahidi wa heshima ya bibi harusi nchini misri na nchi za mashariki ya mbali, radio uholanzi imetangaza tafsiri ya kiarabu ya tangazo la kichina la kifaa cha ngozi nyembamba ya kutengenezwa yenye kurudisha ubikra wa mwanamke.
while bleeding on the wedding night is still the proof of the bride's honor in egypt and middle eastern countries, radio netherlands broadcast an arabic translation of the chinese advertisement of the artificial virginity hymen kit.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
sababu za hali hii ni kuvuja kwa kiambata cha mkataba rasmi uliofikiwa kati ya statoil na serikali ya tanzania kuhusu uchimbaji wa mafuta mkoani mtwara, ulivuja, na kisha kugonga vichwa vya habari katika vyombo vya habari vya tanzania mapema mwezi julai, 2014.
at the center of the matter is an addendum to statoil’s original contract with the tanzanian government for gas extraction in mtwara region that was leaked, then brought to the attention of the tanzanian press in early july 2014.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade: