Você procurou por: tabianchi (Suaíli - Inglês)

Contribuições humanas

A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente

Adicionar uma tradução

Suaíli

Inglês

Informações

Suaíli

tabianchi

Inglês

climate

Última atualização: 2013-07-15
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Wikipedia

Suaíli

nyenzo ya mtandaoni ya kufuatilia mabadiliko ya tabianchi

Inglês

online tools to monitor climate change · global voices

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Wikipedia

Suaíli

upotoshaji wa habari kwenye mkutano wa mabadiliko ya tabianchi

Inglês

phishing spoof at climate change summit · global voices

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Wikipedia

Suaíli

yeyote aliye nyuma ya upotoshaji huu ameweza kwa kiasi kikubwa kucheza na hisia za kutokuamini walizonazo wanaharakati kuhusu kushindwa kwa viongozi wa dunia kuchukua hatua kuhusu mabadiliko ya tabianchi.

Inglês

whoever is behind the spoof, is effectively playing on the disbelief that many activists already feel at the failure of world leaders to take definitive action on climate change.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Wikipedia

Suaíli

kuelekea kwenye mkutano wa mabadiliko ya tabianchi utakaofanyika copenhagen (cop15) mwezi desemba 2009, hizi ni baadhi ya nyenzo za mtandoni za kufuatilia mabadiliko ya tabia nchi.

Inglês

leading up to the climate change conference in copenhagen (cop15) in december 2009, here is a sample of online tools to monitor climate change.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Wikipedia

Suaíli

kwa mujibu wa kanusho bandia, serikali ya canada ilikuwa imechanganyikiwa kwamba habari za kubadili msimamo wake zilipokelewa vizuri na nchi zinazoendelea kwenye mkutano wa umoja wa mtaifa wa mabadiliko ya tabianchi(cop15) mjini copenhagen.

Inglês

according to the fake denouncement, the canadian government was especially frustrated that the news of their change of heart had been met so positively by developing nations at the united nations climate change summit (cop15) in copenhagen.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Wikipedia

Suaíli

lucas liganga aandika kuhusu usaliti wa waziri mkuu wa ethiopia: "kwa bahati mbaya, waziri mkuu wa ethiopia meles zenawi ambaye ni msemaji wa afrika kuhusu mabadiliko ya tabianchi amejiunga na ufaransa na kubadili nakala ya afrika, jambo ambalo limewastua wajumbe wa afrika."

Inglês

lucas liganga writes about ethiopian prime ministers's betrayal: "unfortunately, ethiopian prime minister meles zenawi who is the spokesman of africa on climate change uncharacteristically teamed up with france and heavily doctored the african document, a move that shocked the african negotiators."

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Wikipedia
Aviso: contém formatação HTML invisível

Consiga uma tradução melhor através
7,762,030,394 de colaborações humanas

Usuários estão solicitando auxílio neste momento:



Utilizamos cookies para aprimorar sua experiência. Se avançar no acesso a este site, você estará concordando com o uso dos nossos cookies. Saiba mais. OK