Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
mara wakaziacha nyavu zao, wakamfuata.
and straightway they forsook their nets, and followed him.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
nao mara wakaiacha mashua pamoja na baba yao, wakamfuata.
and they immediately left the ship and their father, and followed him.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
basi, baada ya kuzileta zile mashua ukingoni mwa ziwa, wakaacha yote, wakamfuata.
and when they had brought their ships to land, they forsook all, and followed him.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
basi, yesu akaondoka pamoja naye. watu wengi sana wakamfuata, wakawa wanamsonga kila upande.
and jesus went with him; and much people followed him, and thronged him.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
yesu akatoka, na kama ilivyokuwa desturi yake, akaenda katika mlima wa mizeituni; wanafunzi wake wakamfuata.
and he came out, and went, as he was wont, to the mount of olives; and his disciples also followed him.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
andrea, nduguye simoni petro, alikuwa mmoja wa hao wawili waliokuwa wamemsikia yohane akisema hivyo, wakamfuata yesu.
one of the two which heard john speak, and followed him, was andrew, simon peter's brother.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
yesu alipopata habari hiyo, aliondoka mahali pale kwa mashua, akaenda mahali pa faragha peke yake. lakini watu walipata habari, wakamfuata kwa miguu toka mijini.
when jesus heard of it, he departed thence by ship into a desert place apart: and when the people had heard thereof, they followed him on foot out of the cities.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
tena, baadaye, wakati ule wa kuhesabiwa watu, alitokea yuda wa galilaya. huyu naye, aliwavuta watu wakamfuata; lakini naye pia aliuawa, na wafuasi wake wakatawanyika.
after this man rose up judas of galilee in the days of the taxing, and drew away much people after him: he also perished; and all, even as many as obeyed him, were dispersed.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
yesu akawaambia, "njoni, nanyi mtaona." hao wanafunzi wakamfuata, wakaona mahali alipokuwa anakaa, wakashinda naye siku hiyo. ilikuwa yapata saa kumi jioni.
he saith unto them, come and see. they came and saw where he dwelt, and abode with him that day: for it was about the tenth hour.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível