Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
lakini mafarisayo na walimu wa sheria walikataa mpango wa mungu uliowahusu wakakataa kubatizwa na yohane.
but the pharisees and lawyers rejected the counsel of god against themselves, being not baptized of him.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
zaidi, ndugu wa marehemu walikataa kuzika miili ya ndugu zao waliofariki mpaka pale madai yao yatakapotatuliwa.
moreover, the relatives had refused to bury the dead bodies of their loved ones until their demands are met.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
maofisa wa ikulu pia walikataa kufanunua itifaki na uhalali wa waziri huyo wa zamani kuwa karibu sana na rais katika dhifa za kitaifa.
state house officials also refused to explain the protocol and justify the former minister's closeness to the president at the state functions.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
na, wanawake walioamini walirudishiwa wafu wao wakiwa wamefufuliwa. baadhi yao walikataa kufunguliwa, wakateswa mpaka kufa ili wapate kufufuliwa na kuingia katika maisha bora zaidi.
women received their dead raised to life again: and others were tortured, not accepting deliverance; that they might obtain a better resurrection:
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
basi, jihadharini msije mkakataa kumsikiliza yeye ambaye anasema nanyi. kama wale walikataa kumsikiliza yule aliyewaonya hapa duniani hawakuokoka, sisi tutawezaje kuokoka kama tukikataa kumsikiliza yule anayetuonya kutoka mbinguni?
see that ye refuse not him that speaketh. for if they escaped not who refused him that spake on earth, much more shall not we escape, if we turn away from him that speaketh from heaven:
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade: