Você procurou por: imepita miaka kadhaa sasa (Suaíli - Inglês)

Tradução automática

Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.

Swahili

English

Informações

Swahili

imepita miaka kadhaa sasa

English

 

De: Tradução automática
Sugerir uma tradução melhor
Qualidade:

Contribuições humanas

A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente

Adicionar uma tradução

Suaíli

Inglês

Informações

Suaíli

miaka kadhaa sasa

Inglês

it's been several years now

Última atualização: 2022-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

basi yusuf akakaa gerezani miaka kadhaa.

Inglês

so [yusuf (joseph)] stayed in prison a few (more) years.

Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

usaliti na mizozo ya ndani imeathiri spla kwa muda wa miaka kadhaa.

Inglês

internal factionalism and defections have marked the spla in recent years.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

madai haya yanaweza kumfunga jela kwa miaka kadhaa msichana huyu wa miaka 19.

Inglês

these charges could land the 19-year-old in jail for several years.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

imepita miaka mingi tangu waone njia za namna hiyo zikitumiwa na mamlaka nchini ivory coast.

Inglês

they had not seen such methods used by the authorities in côte d’ivoire for many years.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

mkurugenzi wetu, mehdi jami, alianza kublogu kwa miaka kadhaa kabla ya kujiunga na redio zamaneh.

Inglês

our director, mehdi jami, started blogging several years before joining radio zamaneh.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

mashtaka hayo yamewaudhi waindonesia mtandaoni hasa wale ambao wakuwa wakiblogu na waliokuwa katika tekinoloia ya habari kwa miaka kadhaa.

Inglês

this suit has upset many indonesian onliners, especially those who have been blogging and are into it for several years.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

"baada ya kukaa mbali kwa miaka kadhaa, nilirudi yerusalemu ili kuwapelekea wananchi wenzangu msaada na kutoa dhabihu.

Inglês

now after many years i came to bring alms to my nation, and offerings.

Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo
Aviso: contém formatação HTML invisível

Suaíli

baada ya miaka kadhaa kupita, tembo huyu atajitwalia jina jingine kupitia mchakato unaoelezewa na afisa mifugo afahamikaye kwa jina la emmanuelle chave:

Inglês

after a few years, the elephant will pick his new name through a process described by head veterinarian emmanuelle chave:

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

kwa miaka kadhaa mara kwa mara nimejikuta nawatetea wamarekani wanapokosolewa na wapinzani wao kama vile wafaransa na waarabu,ambao wanadai kuwa watu wa marekani ni mazuzu wabaguzi hayawani.

Inglês

over the years i have often found myself defending americans from such critics as the french or arabs, who charge the people of the u.s. are ignorant racist idiots.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

"ni bahati mbaya sana, lakini kwa miaka kadhaa sasa ni kama tumeanza kuzoea, kwamba wa-kristo na wa-islam hawapatani," anasema ibanga.

Inglês

"it's unfortunate, but over the years we sort of got used to it, that christians and muslims don't get on well together," ibanga says.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo
Aviso: contém formatação HTML invisível

Suaíli

haji, ambaye katika chaguzi za miaka kadhaa iliyopita amekuwa akigombea kwenye nafasi za kitaifa kwa tiketi ya vyama vya upinzani, alikuwa waziri wa uchukuzi na mawasiliano hadi kipindi lowassa anaihama ccm.

Inglês

haji, who has run on opposition tickets in tanzanian presidential elections in the past, was minister of infrastructure and communications until lowassa defected.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

john bocskay, mwanablogu asiyeandika mara nyingi sana alifanya mahojiano na mwandishi wa utalii rolf potts aliyetumia miaka kadhaa kwenye jiji la pili kwa ukubwa nchini korea kusini, pusan, anasema:

Inglês

occasional blogger, john bocskay had an interview with travel writer rolf potts who championed the famed word ‘vegabond’. potts, who spent several years in south korea’s second largest city, pusan, said:

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

alipokuwa shule ya sekondari ya juu (shule ya kumbukumbu ya william knibb) karibu kila jioni alikuwa akibarizi kwenye duka langu la luninga kabla ya kwenda nyumbani kwa hiyo nimekuwa nikangalia maendeleo yake kwa miaka kadhaa.

Inglês

when he was at high school (william knibb memorial high) almost every evening he used to hang out in my video store before going home so i have always watched his progress over the years.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

mwezi julai, mahakama ya makosa ya jinai ilimuhukumu mwajiri mmoja kifungo cha miezi sita gerezani, kutozwa fidia, na kutakiwa kulipa fidia ya uharibifu pamoja na kulipa mishahara ya mfanya kazi wake wa ndani ambaye hakuwa amemlipa kwa miaka kadhaa.

Inglês

in july, a criminal court sentenced an employer to two months in prison, imposed a fine, and required her to pay damages and compensation to a migrant domestic worker whose wages she had not paid for years.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

wakati utamaduni wa mapinduzi katika mataifa mengi ni utamaduni uliopitwa na wakati (kama vile syria hakujapata kutokea mapinduzi kwa miongo kadhaa sasa) baadhi ya mataifa yanapendelea mitindo ya kizamani, rejea pale ambapo ianonekana palikuwa na mapinduzi kama juma moja lililopita sehemu fulani hapa duniani.

Inglês

whereas coup culture in a lot of countries is a thing of the past (e.g., syria ain't had a coup in a few decades) some countries like to kick it old skool, harking back to when it seemed like there was a coup-a-week somewhere in the world.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

miaka kadhaa baadaye, kevin lyttle anayetokea huko st vincents naye alifurahia mafanikio ambayo hayakutarajiwa na kibao chake cha ‘turn me on’. kwa hiyo, nadhani ni sawa nikisema kwamba arrow alipalilia njia kwa wasanii wengine wa soca ambao waligundua kuwa muziki wa soca unaweza kuuzika katika masoko mengine yasiyo ya kitamaduni.

Inglês

years later, st vincent's kevin lyttle was to enjoy unprecedented success with his hit 'turn me on'. so, it is i think fair to say that arrow paved the way for other soca artistes to realize that soca could be marketed to non traditional markets.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Consiga uma tradução melhor através
7,782,579,004 de colaborações humanas

Usuários estão solicitando auxílio neste momento:



Utilizamos cookies para aprimorar sua experiência. Se avançar no acesso a este site, você estará concordando com o uso dos nossos cookies. Saiba mais. OK