Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
when the oceans are exploded.
na bahari zitakapo pasuliwa,
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
the moment the helicopter exploded.
wakati helikopta inalipuka.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
a bomb exploded at moscow's domodedovo airport, at least ten casualties reported.
bomu lililipuka katika kiwanja cha ndege cha domodedovo mjini moscow, kwa uchache vifo vya kadri ya watu kumi vimeripotiwa.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
simultaneously, another car exploded in an uranium mine exploited by the areva group in arlit, niger.
wakati huo huo, gari jingine lilipuka kwenye mgodi wa madini ya uraniam unaomilikiwana kampuni ya areva group mjini arlit, niger.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
in uganda, these celebrations were interrupted when bombs exploded at two popular nightlife spots in kampala, the country's capital.
nchini uganda usherehekeaji huu ulikatishwa pale milipuko ya mabomu iliposambaratisha maeneo mawili maarufu kwa sherehe za mpaka majogoo jijini kampala, mji mkuu wa nchi hiyo.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
a french tourist was killed and around 20 people were injured when a bomb exploded outside the al hussein mosque in cairo's popular tourist area khan al khalili earlier today.
mtalii wa kifaransa ameuwawa na watu wapatao 20 wamejeruhiwa wakati bomu lilipolipuka nje ya msikiti wa al hussein uliopo katika eneo la utalii la khan al khalili mjini kairo mapema leo.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
at approximately 6:00 p.m. (gmt+2), al jazeera english reported that a un school was hit when two tank shells exploded outside of the school.
takriban majira ya saa 12 za jioni (gmt +2), idhaa ya kiingereza ya al jazeera iliripoti kuwa shule moja ya umoja wa mataifa ilipigwa wakati makombora mawili ya vifaru yalipolipuka nje ya shule hiyo.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество: