Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
they were stronger and mightier than themselves.
na hao walikuwa wana nguvu zaidi kuliko wao.
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
so we destroyed those who were mightier in courage than they.
na tuliwaangamiza walio kuwa na nguvu kushinda wao.
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
they were mightier than these in strength and in the traces in the land.
hao walikuwa wamewazidi hawa kwa nguvu na athari katika nchi.
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
he said, "my people, is my tribe mightier to you than god?
akasema: enyi watu wangu! kwani jamaa zangu ni watukufu zaidi kwenu kuliko mwenyezi mungu?
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
as for he who took upon himself the greater part there is a mightier punishment.
na yule aliyejitwika sehemu yake kubwa miongoni mwao, atapata adhabu kubwa.
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
did they not see that god, who created them, was mightier than they in power?
kwani wao hawakuona kwamba mwenyezi mungu aliye waumba ni mwenye nguvu kushinda wao?
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
he said: o my people! is my company mightier with you than allah?
akasema: enyi watu wangu! kwani jamaa zangu ni watukufu zaidi kwenu kuliko mwenyezi mungu?
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
could they not see that allah who created them, he was mightier than them in power?
kwani wao hawakuona kwamba mwenyezi mungu aliye waumba ni mwenye nguvu kushinda wao?
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
like those before you, they were mightier than you in power, and more abundant in wealth and children.
ni kama wale walio kuwa kabla yenu. walikuwa wana nguvu na mali na watoto zaidi kuliko nyinyi.
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
did they not see that allah who created them was mightier than they in strength, and they denied our communications?
kwani wao hawakuona kwamba mwenyezi mungu aliye waumba ni mwenye nguvu kushinda wao? na wao wakawa wanazikataa ishara zetu!
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
and how many a generation we destroyed before them, who were mightier than these in prowess so that they overran the lands!
na kaumu ngapi tuliziangamiza kabla yao walio kuwa na nguvu zaidi kuliko hawa! nao walitanga tanga katika nchi nyingi.
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
and how many a generation did we destroy before them who were mightier in prowess than they, so they went about and about in the lands.
na kaumu ngapi tuliziangamiza kabla yao walio kuwa na nguvu zaidi kuliko hawa! nao walitanga tanga katika nchi nyingi.
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
have they not travelled in the land and seen the nature of the consequence for those who were before them, and they were mightier than these in power?
hawakusafiri katika ardhi wakaona vipi ulikuwa mwisho wa walio kuwa kabla yao? na hao walikuwa wana nguvu zaidi kuliko wao.
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
and many a city, mightier in strength than the city which drave thee forth, we destroyed them, and there was no helper of theirs.
na miji mingapi iliyo kuwa na nguvu zaidi kuliko mji wako huu ulio kutoa; nao tuliwateketeza na wala hawakuwa wa kuwanusuru.
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
as for a'ad, they were arrogant in the land without right, and they said: who is mightier than us in power?
ama kina a'di walijivuna katika nchi bila ya haki, na wakasema: nani aliye kuwa na nguvu kushinda sisi?
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
they were mightier than these in power and (in the) traces (which they left behind them) in the earth.
hao walikuwa wamewazidi hawa kwa nguvu na athari katika nchi. na mwenyezi mungu aliwatia mkononi kwa sababu ya madhambi yao.
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
and he possessed much wealth; so he said to his companion, while he disputed with him: i have greater wealth than you, and am mightier in followers.
naye alikuwa na mazao mengi. basi akamwambia mwenzake naye akibishana naye: mimi nimekushinda wewe kwa mali na nguvu za watu!
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
mightier than these were they in strength-- and in fortifications in the land, but allah destroyed them for their sins; and there was not for them any defender against allah.
na mwenyezi mungu aliwatia mkononi kwa sababu ya madhambi yao. na wala hapakuwa wa kuwalinda na mwenyezi mungu.
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
those among you who expended and fought before the victory shall not be held equal they are mightier in rank than those who expended and fought afterwards; unto each hath allah promised good; and allah is of whatsoever ye work aware.
hao wana daraja kubwa zaidi kuliko wale ambao walio toa baadae na wakapigana. na wote hao mwenyezi mungu amewaahidia wema.
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
as for the tribe of 'aad - they grew stiff-necked on the earth without justification, and said: who is mightier than we in strength?
ama kina a'di walijivuna katika nchi bila ya haki, na wakasema: nani aliye kuwa na nguvu kushinda sisi?
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество: