Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
sanitation and hygiene
maji na usafi wa mazingira
Последнее обновление: 2022-09-14
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
1. national sanitation policy
1, sera ya taifa ya usafi wa mazingira
Последнее обновление: 2018-02-16
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
while lack of sanitation impacts everyone, the taboo around toilets can disproportionately affect women.
wakati ukosefu wa mfumo wa usafi unaathiri kila mtu, miiko inayozunguka suala la vyoo inawaathiri vikubwa wanawake zaidi ya wengine.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
water and sanitation specialist fredrick tumusiime, based in kampala, responded to their tweets, saying:
mtaalam wa maji na usafi fredrick tumusiime, anayeishi kampala, alijibu twiti hizi, akisema:
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
however, one review suggests that promoting hand washing with soap is significantly more cost-effective than other water and sanitation interventions.
hata hivyo, uchunguzi moja hupendekeza kuwa kuhimiza kuosha kwa mikono kwa kutumia sabuni huwa na gharama nafuu sana kuliko mikakati mingine ya maji na usafi.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
hand washing is usually integrated together with other sanitation interventions as part of water, sanitation and hygiene (wash) programmes.
kuosha mikono kwa kawaida hujumuishwa kwa mikakati mingine ya usafishaji kama sehemu ya maji, mipango ya usafi na unadhifu (osha).
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
lack of sanitation is the world’s biggest cause of infection and kills 1.8 million people, mostly children, a year.
ukosefu wa mfumo wa usafi ndiyo sababu kubwa ya maambukizi na huua watu milioni 1.8, hasa watoto, kila mwaka.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
alain tossounon of benin posted on the west african network of journalists for water and sanitation (wash) blog a summary of the report on the evaluation of post disaster needs in benin after the recent major floods.
mbenin, alain tossounon, alipachika muhtasari wa ripoti kwenye blogu ya mtandao wa afrika magharibi wa waandishi wa habari unaohusu maji na usafi wa mazingira (wash). ripoti yenyewe ilishughulikia tathmini ya mahitaji ya baada ya maafa nchini benin kufuatia mafuriko makubwa ya hivi karibuni.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
the government of rwanda recognizes the importance of sanitation in preventive health care because it improves the quality of life for its citizens. the national sanitation policy aims to increase access to safe and sustainable sanitation services in the country. this will be achieved through an integrated manner whereby various stakeholders will be involved in improving the sanitation of the population at all levels:
serikali ya rwanda inatambua umuhimu wa usafi wa mazingira katika huduma za kuzuia maradhi kwa kuwa inaboresha maisha ya raia wake. sera ya taifa ya usafi wa mazingira ina lengo la kuongeza upatikanaji wa huduma salama na endelevu za usafi wa mazingira nchini. hii itafikiwa kwa njia ya pamoja ambapo wadau mbalimbali watashirikishwa katika kuboresha usafi wa mazingira kwa watu wa kada zote:
Последнее обновление: 2018-02-16
Частота использования: 1
Качество:
Источник: