Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
joshua meah blogging about caste system and of women in indian politics at washington note says:
joshua meah akiblogu kuhusu utamaduni huo wa matabaka na wanawake katika siasa kwenye blogu ya washington note anasema:
by 27 february, the washington post reported fewer than 4,000 tests had been conducted in the united states.
kufikia 27 februari, gazeti ya washington post iliripoti chini ya vipimo 4,000 zilikuwa zimefanywa marekani.
the transformational media institute hopes to attract as broad an audience as possible for this year’s summit in washington.
taasisi ya transformational media inalenga kuvutia hadhira kubwa kadri inavyowezekana katika mkutano wa mwaka huu jijini washington.
the governor of maryland mandated that specific child care services remain open for the children of emergency personnel while washington state and california have left it to the discretion of care providers.
gavana wa jimbo la marylanda alitoa kibali kwamba huduma mahususi za kutunza watoto zisalie kufunguliwa kwa ajili ya watoto wa wafanyakazi wa dharura huku jimbo la washington na california yaliwa yameacha uamuzi huo kufanywa na watoa huduma wa kutunza watoto.
the alarm was raised by washington dc-based journalist zaid benjamin, who shared screenshots of the facebook pages posting syrian antiques for sale in turkey.
habari hizo ziliibuliwa na mwandishi anayeishi washington dc, zaid benjamin, aliyeweka picha kadhaa kwenye mtandao wa facebook zikionesha sarafu na vito vya zamani vya syria zikiuzwa nchini uturuki.
in 2011, zunar received the ‘courage in editorial cartooning award’ by the washington-based cartoonist rights network international.
mwaka 2011, zunar alitunukiwa "tuzo ya ujasiri kwenye katuni ya kiuchambuzi' na mtandao wa kimataifa wa haki za wachora katuni ulioko jijini washngton.
george ayittey, a ghanaian economics professor and president of free africa foundation in washington, dc, reminded the rest of the world what museveni said when he became president of uganda in 1986:
george ayittey, prefesa wa uchumi wa ghana na rais wa mfuko wa uhuru wa afrika (faf) jijini washington, dc, aliukumbusha ulimwengu kile ambacho museveni alikisema mwaka 1986 alipokuwa rais wa uganda:
during the week, associated events are taking place throughout the city, leading up to flagship events, including a workshop at the un foundation, on october 31, and the main summit day at george washington university on november 1.
wiki hiii, matukio yatakayoenda sambamba na mkutano huo yatafanyika jijini humo, na kuhitimishwa na na shamra shamra nyingi ikiwa ni pamoja na mfuko wa umoja wa mataifa, oktoba 31, na siku ya mkutano wenyewe itafanyika kwenye chuo kikuu cha george washington novemba 1.