Вы искали: anayeheshimika (Суахили - Английский)

Компьютерный перевод

Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.

Swahili

English

Информация

Swahili

anayeheshimika

English

 

От: Машинный перевод
Предложите лучший перевод
Качество:

Переводы пользователей

Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.

Добавить перевод

Суахили

Английский

Информация

Суахили

miongoni mwa waliouawa ni pamoja na mshairi anayeheshimika, raia wa ghana kofi awoonor.

Английский

among the dead include renowned ghanaian poet kofi awoonor.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

mwandishi wa habari za kiraia anayeheshimika mongu alitwiti picha ya maandamano (imewekwa hapa chini).

Английский

prominent citizen journalist media mongu tweeted a photo of the protest (embedded below).

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

kampeni hiyo ilipata mwitikio kutoka duniani kote, kwa sababu abd el fattah alikuwa mwanablogu, mwanaharakati na mtengeneza programu anayeheshimika duniani kote.

Английский

the anniversary campaign garnered reactions from around the world, as abd el fattah's work as a blogger, activist and coder is respected worldwide.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

mtangazaji huyo anayeheshimika sana nchini china, chai anafahamika kwa weledi wake, ufuatiliaji na mbinu yake ya kuhoji bila kona, na kujielekeza kwenye hoja moja kwa moja.

Английский

a highly respected reporter in china, chai is known for her sharpness, persistence and her direct, cut-to-the point interview technique.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

rais wa kwanza, julius kambarage nyerere, anayefahamika zaidi kwa jina la heshima mwalimu nyerere, amekuwa mzalendo anayeheshimika na kupendwa zaidi katika historia ya tanzania.

Английский

the first, julius kambarage nyerere, mostly referred to by his honoric title mwalimu nyerere, is the most respected and loved statesman in tanzanian history.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

…kama rais wa zamani wa chama cha wanataaluma wa tume ya vyuo vikuu nchini (naijeria), mwanaharakati wa jamii anayeheshimika na mtetezi wa haki za binadamu.

Английский

...as former asuu (academic staff union of universities) president, a respectable civil society activist and a human rights practitioner.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

mwanasheria anayeheshimika na mhadhiri kwenye chuo kikuu cha ghana, kitivo cha sheria, dr. raymond atuguba ameonyesha kwa umakini jinsi wanamgambo wa eneno la delta ya naija, wanaojulikana kwa ukorofi wa kulipua mabomba ya mafuta, kuteka watu nyara na kudai dhamana kubwa na kusababisha vurugu kwenye eneo lenye utajiri wa mafuta nchini naijeria wameanza kuingia ghana kwa makundi.

Английский

a respected legal practitioner and lecturer at the university of ghana, law faculty, dr. raymond atuguba has chillingly revealed that militants in the niger delta region, notorious for blowing up oil pipes, kidnapping and demanding huge ransoms and causing unrest in the oil rich nigerian region have started tripping to ghana in droves.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Получите качественный перевод благодаря усилиям
7,763,964,258 пользователей

Сейчас пользователи ищут:



Для Вашего удобства мы используем файлы cookie. Факт перехода на данный сайт подтверждает Ваше согласие на использование cookies. Подробнее. OK