Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
hivyo ni karibu zaidi kuweza kutambulikana wasiudhiwe.
that is more suitable that they will be known and not be abused.
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
kuna baadhi ya mambo ambayo ni lazima tuendelee kuyafanya.
there are some things that we must keep doing.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
ni karibu ya mwaka na nusu tangu nilipokuwa hapa kwa mara mwisho.
it’s been almost a year and a half since i was last here.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
maji moto ambayo ni sawa kuosha mikono sio moto kutosha kuuwa bakteria.
hot water that is comfortable for washing hands is not hot enough to kill bacteria.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
kuna majaribio zaidi ya 300 ya kliniki ambayo ni amilifu yanayoendelea kuanzia aprili 2020.
there are more than 300 active clinical trials underway as of april 2020.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
pikipiki ya matairi matatu maarufu kama tuktuk ambayo ni usafiri maarufu wa umma nchini cambodia
cambodia's tuktuk, a three-wheeled public vehicle
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
fununu na majungu, ambayo ni mambo muhimu jijini conakry, yanazidi kumea kwa kasi.
the rumors and gossip, which are the very essence of conakry, keep going strong.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
kwa sasa, uwezo na uzalishaji wa nishati barani kote ni karibu sawa na ule wa ujerumani na kanada.
at present, continent-wide installed capacity and power generation are roughly equivalent to those of germany or canada.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
chakula kinapatikana katika soko –lakini kwa bei iliyopaa sana ambayo ni watu wachache tu wanaweza kuimudu.
food is readily available in the market – but at an inflated price few can afford.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
bado, ni jambo la kusikitisha pale unaponunua bendera ambayo ni zaidi ya mita 1 kwa upana au urefu!
still, it really is pathetic when you get a flag that is more than 1 meter in width or length!
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
hotuba yote ilichapishwa kwenye blogu ya up station mount club ambayo ni maarufu sana kwa wanablogu wa kikameruni wanoblogu kwa kiingereza.
the speech was published in its entirety on up station mount club which is fledgling one-stop-shop of anglophone cameroonian blogging.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
@gabovzla: ushindi ambao wote tayari tunaufahamu unahitaji tafakari ya kina, ambayo ni lazima iwepo.
@gabovzla: the victory that we all already know about also deserves profound reflection, which will surely come.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
na jamaa ni karibu wao kwa wao katika kitabu cha mwenyezi mungu kuliko waumini wengine na wahamiaji. ila muwe mnawafanyia wema marafiki zenu.
according to the book of allah, blood relatives have greater claim over each other than the rest of the believers and the emigrants (in the cause of allah), except that you may do some good to your allies (if you so wish).
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
desemba 9, 2011, ni siku maalumu kwa watanzania wakati tanganyika, ambayo ni sehemu ya muungano wa tanzania ikitimiza miaka 50 ya uhuru.
the 9 december, 2011, is a big day for tanzanians as the mainland part of the united republic of tanzania, tanganyika, turns 50.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
rimsha anatuhumiwa kwa kuchoma karatasi za noorani qaida, ambayo ni mjumuisho wa masomo ya kujifunzia kiarabu kwa wanaoanza kujifunza na kasha kuziweka ndani ya mfuko wa plastiki.
rimsha is accused of burning pages of noorani qaida, an arabic learning lesson for beginners, and putting them in a plastic bag.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
c/mimi ni mwanafunzi wa chuo cha benki kuu mwenye usajili namba... nilikuwa naomba kufanya mitihani ambayo nilikosa kuifanya siku ya jumanne na jumatano ambayo ni...
c/i am a central bank college student with registration number... i was applying to take exams that i missed on tuesday and wednesday which are...
Последнее обновление: 2024-04-17
Частота использования: 1
Качество:
gazeti la south china morning post lilitaarifu kuwa, maandamano yaliratibiwa kupitia mitandao ya kijamii ya nchini china ya huduma za ujumbe ambayo ni: qq na wechat.
south china morning post has reported that the protest had been organized via china’s social messaging services: qq and wechat.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
nchi nyingi zilizoendelea hazina vitanda vya kutosha vya kila mtu, ambayo inapunguza uwezo wa mfumo wa afya kushughulikia matukio ya ghafla ya covid-19 ambayo ni kali sana kuhitaji kulazwa hospitalini.
many developed countries do not have enough hospital beds per capita, which limits a health system's capacity to handle a sudden spike in the number of covid-19 cases severe enough to require hospitalisation.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
idadi ya wanawake kwenye bunge la rwanda, ni asilimia 64, ambayo ni idadi kubwa kuliko kwenye mabunge mengine duniani, kwa mujibu wa orodha ya 2014 ya umoja wa mabunge katika nchi 189.
the percentage of women in the rwandan parliament, at almost 64 percent, is the highest in the world, according to the inter-parliamentary union's 2014 ranking of 189 countries.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
hata hivyo, kudungwa kwa dawa remdesivir inayodungwa ndani ya mishipa, ambayo ni nucleotide iliyo na sukari na fosfeti, imepatikana kuwa faafu kwa mgonjwa wa marekani aliye na covid-19.
however, intravenous administration with remdesivir, a nucleotide analog, has been found to be efficacious in an american patient with covid-19.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
Несколько пользовательских переводов с низким соответствием были скрыты.
Показать результаты с низким соответствием.