Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
marko
mark
Последнее обновление: 2023-02-27
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
jumuiya ya wenzenu walioteuliwa na mungu hapa babuloni wanawasalimuni. vilevile mwanangu marko anawasalimuni.
the church that is at babylon, elected together with you, saluteth you; and so doth marcus my son.
baada ya barnaba na saulo kutekeleza shughuli zao, walitoka tena yerusalemu wakamchukua yohane aitwaye pia marko.
and barnabas and saul returned from jerusalem, when they had fulfilled their ministry, and took with them john, whose surname was mark.
lakini paulo hakupendelea kumchukua marko, ambaye awali aliwaacha kule pamfulia na kukataa kushiriki katika kazi yao.
but paul thought not good to take him with them, who departed from them from pamphylia, and went not with them to the work.
luka peke yake ndiye aliye hapa pamoja nami. mpate marko uje naye, kwa maana ataweza kunisaidia katika kazi yangu.
only luke is with me. take mark, and bring him with thee: for he is profitable to me for the ministry.
alipotambua hivyo alikwenda moja kwa moja mpaka nyumbani kwa maria mama yake yohane aitwaye marko. humo watu wengi walikuwa wamekusanyika wakisali.
and when he had considered the thing, he came to the house of mary the mother of john, whose surname was mark; where many were gathered together praying.
walipofika salami walihubiri neno la mungu katika masunagogi ya kiyahudi. yohane (marko) alikuwa msaidizi wao.
and when they were at salamis, they preached the word of god in the synagogues of the jews: and they had also john to their minister.
maprofesa marko bargaric na lant pritchett ni wanazuoni wawili wa kwanza kuwasilisha dhana ya “mipaka iliyo wazi” kama suluhisho la kupunguza umaskini duniani.
professors marko bagaric and lant pritchett are two of the first scholars to introduce the concept of "open borders" as a solution to reducing global poverty.
kutoka pafo, paulo na wenzake walipanda meli wakaenda hadi perga katika pamfulia; lakini yohane (marko) aliwaacha, akarudi yerusalemu.
now when paul and his company loosed from paphos, they came to perga in pamphylia: and john departing from them returned to jerusalem.