Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
ndugu, nawatakieni ninyi nyote neema ya bwana wetu kristo. amina.
brethren, the grace of our lord jesus christ be with your spirit. amen.
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
nawatakieni neema na amani kutoka kwa mungu baba yetu na kwa bwana yesu kristo.
grace be to you, and peace, from god our father, and from the lord jesus christ.
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
salimianeni kwa ishara ya upendo wa kikristo. nawatakieni amani ninyi mlio wake kristo.
greet ye one another with a kiss of charity. peace be with you all that are in christ jesus. amen.
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
watu wote walio pamoja nami wanakusalimu. wasalimu rafiki zetu katika imani. nawatakieni nyote neema ya mungu.
all that are with me salute thee. greet them that love us in the faith. grace be with you all. amen.
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
mungu baba aliwateua ninyi kufuatana na kusudi lake, na mmefanywa watakatifu na roho, mpate kumtii yesu kristo na kusafishwa kwa damu yake. nawatakieni neema na amani tele.
elect according to the foreknowledge of god the father, through sanctification of the spirit, unto obedience and sprinkling of the blood of jesus christ: grace unto you, and peace, be multiplied.
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
mimi yohane nayaandikia makanisa yaliyoko mkoani asia. nawatakieni neema na amani kutoka kwake yeye aliyeko, aliyekuwako na anayekuja; na kutoka kwa roho saba walio mbele ya kiti chake cha enzi,
john to the seven churches which are in asia: grace be unto you, and peace, from him which is, and which was, and which is to come; and from the seven spirits which are before his throne;
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество: