Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
mvuto wa ujio wa obama haukuishia tu katika mitaa ya jiji la dar es salaam.
the interest in obama's visit extended farther than the streets of dar es salaam.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
waliofanya hivyo walikuwa wakose ujio mkubwa katika historia ya mechi ya watani wa jadi.
those who did were about to miss one of the greatest comebacks in the history of the dar derby.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
blogu ya Συγκακοπαθησον inayoandikwa na mmisionari aliyeko kameruni ilichapisha mabadiliko yatakayotokana na ujio wa papa jijini yaounde.
Συγκακοπαθησον a blog maintained by a missionary in cameroon posted on the changes to the outlook of yaounde as a aresult of the pope's coming.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
mtumiaji huyu wa instagramu alinasa picha kwenye miongoni mwa mabango ya barabarani na inaonekana aliridhika sana na mategemeo yaliyopo kuhusiana na ujio wa obama.
this instagrammer captured an image on one of the billboards and seemed quite pleased about the prospect of obama's visit:
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
jambo la kusikitisha ni kuwa serikali ilikuwa imeridhika na kuachia mambo yaendelee kuwa yalivyo (pengine kwa miaka 10 au zaidi) mpaka jambo kubwa lilipotokea, kama vile ujio wa papa.
the sad part is that it seems the government was content to just let things be (possibly for as long as 10 years or longer) until something big came up, like the pope’s arrival.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество: