Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
also take note, october 24th, 2009 has been designated the international day of climate action by 350.org.
pia zingatia, oktoba 24, 2009 ni siku iliyopewa jina la siku ya dunia ya kuchukua hatua za hali ya hewa na wavuti ya 350.org.
gameli ended his post with a series of questions—"what are your views on climate change?
gameli alihitimisha makala yake na mlolongo wa maswali –“una maoni gani kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa?
at the same time desertification contributes to climate change by releasing to the atmosphere carbon stored in dryland vegetation and soils.
wakati huohuo ueneaji jangwa nao huchangia katika mabadiliko ya hali ya hewa kwa kuruhusu kaboni iliyohifadhiwa kwenye mimea ya maeneo yenye ukame na udongo kurushwa kwenye anga.
can developing countries contribute to reversing climate change?"—to which he hopes to get to answers to soon.
je, nchi zinazoendelea zinaweza kuchangia katika kubadili mwelekeo wa mabadiliko haya?” – akitegemea kupata majibu mapema.
the impact of climate change has not received much prominence in my country uganda but such changes and its effects are painfully being felt.
athari za mabadiliko ya tabia nchi hazijapewa kipaumbele kinachostahili katika nchi yangu uganda lakini mabadiliko hayo na athari zake zinahisiwa kwa uchungu.
they were writing about the complex, often tendentious political climate in bangladesh and the importance of upholding human rights.
walikuwa wakiandika kwa maoni yao kuhusiana na hali tete ya kisiasa ya bangladesh pamoja na umuhimu wa kuweka kipau mbele haki za binadamu.
this year blog action day took place on october 15, with bloggers all over the world writing on the topic of climate change.
siku ya kublogu mwaka huu ilifanyika oktoba 15, ambapo wanablogu kote duniani waliandika kuhusu mada ya mabadiliko ya hali ya hewa.
awdf views climate change as an environmental change, which is also driven by humans—fundamentally a human problem.
awdf inayatazama mabadiliko ya hali ya hewa kama mabadiliko ya mazingira, ambayo yanaharakishwa pia na binadamu –kimsingi likiwa tatizo la mwanadamu.
developing countries impacted most directly by climate change, have taken a similar steps like the recent satellites launch by india to study climate change.
nchi zinzoendelea zilizoathiriwa moja kwa moja na mabadiliko ya tabia nchi, zimechukua hatua zinazofanana na hizo kama vile kuzinduliwa hivi karibuni kwa setilaiti ya india ili kujifunza mabadiliko ya tabia nchi.
photograph shows scenes from newcastle harbour where representatives from 12 pacific island nations came to raise awareness of climate change by blockading the movements of coal ships.
picha zikionesha hali ya mambo kwenye bandari ya newcastele mahali walikokuwepo raia wa nchi 12 zilizopo ndani ya bahari ya pasifiki kwa lengo la kukuza uelewa wa mabadiliko ya tabia nchi kwa kuzuia safari za meli za makaa ya mawe.
photograph shows scenes from newcastle harbour where representatives from 12 pacific island nations came to raise awareness on climate change by blockading the movements of coal ships.
picha zinazonesha hali ya mambo kwenye bandari ya newcastle ambapo raia wa nchi 12 zilizoko kwenye bahari ya pasifiki walifika kukuza uelewa wa mabadiliko ya tabia nchi kwa kuzuia safari za meli za makaa ya mawe.
gameli adzaho, author of the gamelian world blog, presented a post on "5 voices on climate change".
gameli adzaho, mwandishi wa blogu ya the gamelian world, alitoa makala inayohusu sauti 5 kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa.
in his paper, agrawal stated that “climate change will be pivotal in redefining development in the twenty-first century.
katika mada yake hiyo, agrawal alisema kwamba “mabadiliko ya hali ya hewa yatakuwa nguzo muhimu katika kufafanua upya dhana ya maendeleo katika karne ya ishirini na moja.
participants from around the world have produced 1-minute long movies on topics related to climate change, sustainable development and biodiversity.
washiriki kutoka sehemu mbalimbali za dunia wametengeneza filamu zinazochukua muda wa dakika 1 kwa kuzingatia mada zinazohusiana na mabadiliko ya hali ya hewa, maendeleo endelevu pamoja na bayoanuai.