You searched for: congolese (Engelska - Swahili)

Mänskliga bidrag

Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.

Lägg till en översättning

Engelska

Swahili

Info

Engelska

congolese

Swahili

Senast uppdaterad: 2023-07-17
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

d.r. of congo: congolese diaspora erupts against kabila

Swahili

kongo (drc): wakongo waishio nje ya nchi walipuka kumpinga kabila

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

congolese security forces have fired into crowds of demonstrators with deadly results.

Swahili

vikosi vya usalama nchini kongo vimerusha risasi za moto kwa makundi ya waandamanaji na matokeo yake ni wengi kuuawa.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

d.r. of congo: congolese diaspora erupts against kabila · global voices

Swahili

kongo (drc): wakongo waishio nje ya nchi walipuka kumpinga kabila

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

the national police chief can call on the regular congolese army to provide assistance if police forces are overwhelmed.

Swahili

mkuu wa polisi nchini humo ana mamlaka ya kuwaita wanajeshi wa nchi hiyo kutoa msaada kama polisi wanazidiwa.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

and although the congolese diaspora was unable to vote, they made sure to get their voices heard by the world.

Swahili

na ingawa wa-kongo wanaoishi nje ya nchi yao hawakuwezeshwa kupiga kura, walihakikisha wanapaza sauti zao zisikike duniani kote.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

the congolese blogosphere had harsh criticism for congolese president joseph kabila's recent interview in the new york times.

Swahili

ulimwengu wa wanablogu wa kikongo ulijaa shutuma kali dhidi ya mahojiano ya hivi karibuni ya rais wa kongo, joseph kabila kwenye gazeti la new york times.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

and this is a video with two congolese brothers separated for 15 years who met for the first time on google hangout on air after locating each other via refugees united.

Swahili

na video hii inawaonyesha kaka wawili wa ki-kongo waliotengana kwa miaka 15 na hatimaye kukutana kwa mara ya kwanza kwenye zana ya mtandaoni ya google hangout on air baada ya kufahamishana mahali walipo kupitia mtandao wa shirika la refugees united.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

ismaël bowend nabole, a reporter at brazzaville's omega fm, noted that the congolese opposition rejected the result:

Swahili

ismaël bowend nabole, mwandishi wa omega fm iliyopo jijini brazzaville, anasema kwamba vyama vya upinzani nchini humo viliyakataa matokeo hayo:

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

cpj's africa program coordinator, sue valentine argues that shutting down internet and sms communication in the country is an infringement on basic congolese rights:

Swahili

mratibu wa programu wa afrika wa cpj, sue valentine anasema kuzima mtandao wa intaneti na mawasiliano ya simu katika nchi hiyo ni kukiukwa kwa haki za msingi za wa-kongo:

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

sassou-nguesso, nonetheless, went ahead with the referendum, asking the congolese people if they would grant the amendments necessary for him to hold onto power.

Swahili

sassou-nguesso, hata hivyo, aliendelea na mpango wake na kuitisha kura ya maoni, akiwauliza wananchi wa kongo kama wanaweza kubariki marekebisho yanayoweza kumwezesha kubaki madarakani.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

le potentiel writes that french president hollande's assessment of human rights violations in dr of congo were not taken lightly by the congolese government as the francophone summit is set to take place in kinshasa, drc.

Swahili

le potentiel anaandika kwamba tathmini ya uvunjaji wa haki za binadamu nchini drc kongo iliyofanywa na rais wa ufaransa hollande haikuchukuliwa kijuu juu na serikali ya kongo wakati ambapo mkutano wa nchi zizungumzazo kifaransa ndio kwanza umeanza mjini kinshasa, drc.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

they are criminals in congo and they are also criminals in canada and criminals according to international laws. (...) we have information from reliable sources about all the names of all the canadian public figures whose companies are involved in the illicit exploitation of mines in congo. johannesburg also witnessed the march of hundreds of congolese nationals.

Swahili

hawa watu ni wahalifu wanaoishi kongo na ni wahalifu wanaoishi kanada na ni wahalifu wa sheria za kimataifa. (…) tunazo taarifa kutoka kwenye vyanzo vya uhakika kuhusiana na majina ya watu maarufu wa ki-kanada ambao makampuni yao yanajihusisha na unyonyaji haramu wanaoufanya kwenye madini yetu nchini kongo.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Få en bättre översättning med
7,782,044,478 mänskliga bidrag

Användare ber nu om hjälp:



Vi använder cookies för att förbättra din upplevelse. Genom att fortsätta besöka den här webbplatsen godkänner du vår användning av cookies. Läs mer. OK