You searched for: eviction (Engelska - Swahili)

Datoröversättning

Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.

English

Swahili

Info

English

eviction

Swahili

 

Från: Maskinöversättning
Föreslå en bättre översättning
Kvalitet:

Mänskliga bidrag

Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.

Lägg till en översättning

Engelska

Swahili

Info

Engelska

said ras-kadafi of mampi’s eviction:

Swahili

said ras-kadafi alikuwa na haya ya kusema kuhusu kuondolewa kwa mampi:

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

zambia: mixed feelings greet big brother eviction · global voices

Swahili

zambia: maoni na hisia tofauti baada ya mwakilishi kutolewa kwenye mashindano ya big brother

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

and if they come to you as captives, you ransom them, although their eviction was forbidden to you.

Swahili

na wakikujieni mateka mnawakomboa, na hali kuwatoa mmekatazwa. je!

Senast uppdaterad: 2014-07-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

mampi, real name mirriam mukape, lasted three weeks in the house before she was nominated for eviction by other housemates.

Swahili

jina halisi la mampi ni mirriam mukape. baada ya kuwa kwenye nyumba hiyo ya big brother kwa majuma matatu, washindani wenzake walipendekeza atolewe.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

the outrageous eviction of the wang family executed by taipei city government showed the public how fragile citizens' private rights is in front of the urban renewal projects.

Swahili

kitendo cha kinyama cha kufukuzwa kwa familia ya wang kilichofanywa na serikali ya jiji la taipei kiliuonyesha wazi umma jinsi haki za raia zilivyo tete mbele ya mradi wa ufufuaji miji.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

one of the oldest slave descendent communities in brazil, quilombo rio dos macacos, where around 50 families live, has a date for eviction: march 4, 2012.

Swahili

moja wapo ya jamii zilizotokana na uzao wa kale wa kitumwa nchini brazil, quilombo rio dos macacos, ambapo kadri ya familia 50 zinaishi, wapatiwa tarehe kamili ya kuondolewa: machi 4, 2012.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

the video the colombian government doesn't want us to see shows the violent eviction faced by two river bank communities standing up peacefully against the building of the dam, and pulls together the testimonies of those who faced the violence and were injured.

Swahili

video ambayo serikali ya colombia haitaki tuone yaonyesha fujo inayotumiwa dhidi ya jamii mbili zilizoko ukingoni wa mto, ambazo zimetumia njia za amani kupinga kujengwa kwa bwawa hilo. video hiyo pia inakusanya maoni na ushuhuda ya waliokumbana na vurugu hizo, pamoja na waliojeruhiwa.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

the eviction of zambia’s representative, musician popularly known as mampi, from the on-going big brother africa seventh series, has been received with mixed feelings from netizens.

Swahili

kutolewa kwa mwakilishi wa zambia, mwanamuziki maarufu anayefahamika kama mampi, kutoka kwenye mashindano yanayoendelea hivi sasa ya big brother africa toleo la saba, kumepokelewa kwa hisia na maoni tofauti na raia wa mtandaoni.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

blogger claudio silva argues on africa is a country that a deeper look at state-sponsored violence (urban evictions and crackdowns on protest) is needed to put into perspective two viral videos that recently shocked the country (see global voices coverage).

Swahili

mwanablogu claudio silva anaandika kwenye makala yake africa ni nchi kwamba mtazamo wa kina juu ya vurugu zinazofadhiliwa na serikali (kufukuzwa watu mijini na kupigwa kwa waandamanaji) unahitajika ili kuelewa video mbili zilizosambaa sana mtandaoni na kuleta sintofahamu kubwa nchini (tazama habari maalumu za global voices).

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Få en bättre översättning med
7,761,951,998 mänskliga bidrag

Användare ber nu om hjälp:



Vi använder cookies för att förbättra din upplevelse. Genom att fortsätta besöka den här webbplatsen godkänner du vår användning av cookies. Läs mer. OK