You searched for: flawed (Engelska - Swahili)

Mänskliga bidrag

Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.

Lägg till en översättning

Engelska

Swahili

Info

Engelska

flawed

Swahili

kiujanja

Senast uppdaterad: 2012-06-20
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

it is for god to point out the paths, but some of them are flawed.

Swahili

na ni juu ya mwenyezi mungu kuelekeza njia. na zipo njia za upotovu.

Senast uppdaterad: 2014-07-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

and as awkward and flawed as he was, i will dearly miss him and his talents.

Swahili

na hata kama alikuwa mtu wa ajabu na mwenye mapungufu, nitamkosa sana yeye pamoja na vipaji vyake.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

parliamentary elections: better postponed than flawed http://wp.me/pfobi-jq

Swahili

uchaguzi wa bunge: afadhali umeahirishwa kuliko ungevurugwa http://wp.me/pfobi-jq

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

andiva (@andyandiva) from kenya blamed the opposition mdc for participating in a flawed election:

Swahili

andiva (@andyandiva) kutoka kenya anakilaumu chama cha upinzani cha mdc kwa kushiriki uchaguzi uliovurugwa:

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

everything that is humanely destructive but equally bracketed into the flawed mortality of individuals i'm entrusting my country with.

Swahili

chochote chenye uharibifu kwa utu wa mwanadamu lakini hichohicho ndicho kinachotumika kuua watu ninaoamini ndio wamebeba mustakabali wa nchi yangu.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

despite such frequent unpleasant events, pakistan has made almost no progress in reforming its deeply flawed and discriminatory law involving blasphemy.

Swahili

pamoja na matukio hayo ya mara kwa mara yasiyopendeza, pakistani haipiga hatua zozote katika kuipitia upya sheria hiyo kandamizi ya kukashifu.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

when many were applauding the recent progress in burma, we needed win tin to remind us of the sober reality of the country’s flawed reform process.

Swahili

wakati wengi walikuwa wanapongeza maendeleo ya hivi karibuni nchini burma, tulihitaji win tin kutukumbusha ukweli wa dosari ya mchakato wa mageuzi ya nchi.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

a nigerian blogger anengiyefa thinks the bill is flawed and the panel who made the bill are ignorant about homosexuality, he says homosexuality cannot be an offense, you cannot punish someone for having sexual feelings for another person:

Swahili

mwanablogu wa naijeria anengiyefa anafikiri kwamba muswada huu una makosa na jopo lililoutengeneza halina ufahamu wa kutosha kuhusu ushoga. anasmea ushoga hauwezi kuwa kosa, huwezi kumwadhibu mtu kwa kuwa na hisia za kimapenzi na mtu mwingine:

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

so why did mdc participate in the elections with knowledge it was flawed from the onset? #zimbabwedecides — andiva (@andyandiva) august 3, 2013

Swahili

kwa nini mdc walishiriki kwneye uchaguzi huo wakijua kuwa ulikuwa umevurugwa tangu mwanzo? #zimbabwedecides — andiva (@andyandiva) august 3, 2013

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

spend a part of your lawful earnings, and part of what we have produced from the earth for you – and do not (purposely) choose upon the flawed to give from it (in charity) whereas you would not accept it yourselves except with your eyes closed towards it; and know well that allah is independent, most praised.

Swahili

wala msikusudie kutoa vilivyo vibaya, hali nyinyi wenyewe msinge vipokea ila ingekuwa mmefumba macho. na jueni kwamba mwenyezi mungu ni mwenye kujitosha na msifiwa.

Senast uppdaterad: 2014-07-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Få en bättre översättning med
7,770,622,014 mänskliga bidrag

Användare ber nu om hjälp:



Vi använder cookies för att förbättra din upplevelse. Genom att fortsätta besöka den här webbplatsen godkänner du vår användning av cookies. Läs mer. OK