Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
predecessor
mtangulizi
Senast uppdaterad: 2021-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
his predecessor kevin rudd loved a global audience.
mtangulizi wake kevin rudd alipenda sana kusikika duniani kote.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
inec had a credibility crisis during the tenure of maurice iwu, jega’s predecessor.
tume ya uchaguzi (inec) ilikuwa na tatizo la kuaminika wakati mtangulizi wa jega, maurice iwu, alipokuwa akishikilia kiti hicho.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
every sign that we showed them was greater than its predecessor; and then we seized them with our chastisement so that they may return (to the right way).
na hatukuwaonyesha ishara yoyote ila hiyo ilikuwa kubwa zaidi kuliko nyenginewe. na tukawakamata kwa adhabu ili warejee.
Senast uppdaterad: 2014-07-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
in late september barbara hogan was appointed as south africa's new health minister by interim president kgalema motlanthe, ousting her controversial predecessor manto tshabalala-msimang.
mwishoni mwa mwezi septemba, barbara hogan, aliteuliwa na rais wa mpito kgalema motlanthe kuwa waziri mpya wa afya wa afrika ya kusini, akichukua nafasi ya mtangulizi wake mwenye utata mwingi, manto tshabalala-msimang.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
departing from his predecessor’s practice of not announcing his health-related matters, lungu’s press aide amos chanda said in a statement:
akijaribu kuachana na utaratibu wa mtangulizi wake wa kuficha taarifa zake zinazohusiana na afya, msaidizi wake wa habari amos chanda alisema kwenye taarifa yake:
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
(their plight will be) no better than that of the people of pharaoh, and their predecessors: they denied our signs, and allah called them to account for their sins. for allah is strict in punishment.
- kama yaliyo wapata watu wa firauni na wale walio kuwa kabla yao. walikanusha ishara zetu, basi mwenyezi mungu aliwashika kwa madhambi yao; na mwenyezi mungu ni mkali wa kuadhibu.
Senast uppdaterad: 2014-07-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens: