You searched for: recovering (Engelska - Swahili)

Datoröversättning

Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.

English

Swahili

Info

English

recovering

Swahili

 

Från: Maskinöversättning
Föreslå en bättre översättning
Kvalitet:

Mänskliga bidrag

Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.

Lägg till en översättning

Engelska

Swahili

Info

Engelska

malala is slowly recovering.

Swahili

malala hivi sasa anazidi kupata nafuu akitaraji baada ya hapo kurejea katika maisha ya kawaida kama wasichana wengine wa umri wake.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

several organizations have observed that the typhoon victims are slowly recovering but many problems persist.

Swahili

mashirika kadhaa yalibainisha kwamba waathirika wa kimbunga wanapata nafuu pole pole lakini matatizo mengi yanaendelea.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

it is unclear whether it is possible to be reinfected with the virus after recovering from it the first time around.

Swahili

si dhahiri kama inawezekana kuambukizwa tena na virusi hivi baada ya kupona mara ya kwanza.

Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

continued political violence is a threat to the democratic process in a country which is still slowly recovering from a devastating protracted civil war

Swahili

kuendelea kwa ghasia za kisiasa ni tishio kwa mchakato wa kidemokrasia katika nchi ambayo bado inarejea polepole kutoka kwa vita vya muda mrefu vya wenyewe kwa wenyewe

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

had we willed, we could take away what we have revealed to you, then you would find none to help you in recovering it from us.

Swahili

na tungeli penda tungeli yaondoa tuliyo kufunulia. kisha usingeli pata mwakilishi wa kukupigania kwetu kwa haya.

Senast uppdaterad: 2014-07-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

blogger dorji wangchuk has been working with the recovering addicts and alcoholics and looks for a long-term solution of the problem among the bhutanese youth.

Swahili

mwanablogu dorji wangchuk amekuwa akifanya kazi kurejesha watumiaji madawa ya kulevya na walevi na kutafuta ufumbuzi wa muda mrefu wa tatizo miongoni mwa vijana wa bhutanese.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

just visited imran khan in the hospital and conveyed best wishes of mian nawaz sharif... he is alhumdulillah fine and recovering mashaaallah... prayers for him and his family!!!

Swahili

si muda mrefu nimetoka hospitalini kumjulia hali imran khan na kufikisha salamu za kumtakia siha njema kutoka kwa mian nawaz sharif...alhumdulillah yeye hajambo na anaendelea vizuri mashaaallah... tunamwombea yeye na familia yake!!!

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

we are confident that we know the position of the black box flight recorder to within some kilometres, but confidence in the approximate position of the black box is not the same as recovering wreckage from almost four-and-a-half kilometres beneath the sea.

Swahili

tuna uhakika kwamba tunajua welekeo wa kifaa cha taarifa za ndege hiyo (black box) kwa umbali wa kilometa kadhaa, lakini uhakika wa mahali kilipo kifaa hicho si sawa na kuokoa mabaki ya ndege hiyo yaliyoko takribani kilometa nne na nusu chini cha usawa wa bahari.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Få en bättre översättning med
7,792,675,272 mänskliga bidrag

Användare ber nu om hjälp:



Vi använder cookies för att förbättra din upplevelse. Genom att fortsätta besöka den här webbplatsen godkänner du vår användning av cookies. Läs mer. OK