You searched for: transmit (Engelska - Swahili)

Datoröversättning

Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.

English

Swahili

Info

English

transmit

Swahili

 

Från: Maskinöversättning
Föreslå en bättre översättning
Kvalitet:

Mänskliga bidrag

Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.

Lägg till en översättning

Engelska

Swahili

Info

Engelska

it is therefore not too surprising that bats might transmit hcov-229e to humans directly.

Swahili

kwa hivyo si ajabu sana kwamba popo wana uwezo wa kusambaza hcov-229e moja kwa moja kwa binadamu.

Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

what animal was the intermediate species to transmit the virus from the original host, say bats, to humans?

Swahili

ni mnyama yupi alikuwa wa kati kuvibeba na kusambaza virusi kutoka kwa mbebaji virusi asilia, kwa mfano kutoka kwa popo hadi kwa binadamu?

Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

despite this, it appears the virus had trouble spreading from human to human, as most individuals who are infected do not transmit the virus.

Swahili

hata hivyo, inaonekana virusi hivyo vilikuwa na shida ya kuenea kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine, kwa kuwa watu wengi ambao wameambukizwa hawaambukizi wengine virusi hivyo.

Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

generally, when these hcovs acquire the abilities to transmit efficiently and to maintain themselves continuously within humans, they also become less virulent or pathogenic.

Swahili

kijumla, virusi hivi vya hcov vikishapata uwezo wa kusambaza kwa ufanisi na kuendelea kujidumisha ndani ya binadamu, pia uwezo wao wa virusi au wa kipathogenetiki unapungua.

Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

first, if bats transmit an ancestral virus of sars-cov-2 to pangolins, it will be of interest to see under what circumstances bats and pangolins could share the same ecological niche.

Swahili

kwanza, ikiwa popo wanasambaza virusi vya kijadi vya sars-cov-2 kwa kakakuona, itakuwa jambo la kuvutia kuona ni katika hali zipi ambapo popo na kakakuona wanaweza wakapatikana katika mazingira sawa ya kiekolojia.

Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

covid-19 patients transmit the virus even when they are symptomless whereas sars patients do so usually when they are severely ill, which causes much greater difficulty to contain the spread of covid-19 than sars.

Swahili

wagonjwa wa covid-19 wanasambaza virusi hata wakati hawaonyeshi dalili zozote huku wagonjwa wa sars wakiwa wanafanya hivyo wakiwa katika hali mbaya sana, jambo linalosababisha ugumu zaidi wa kudhibiti kuenea kwa covid-19 kuliko sars.

Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

[i have no duty] except to transmit from allah, and [to communicate] his messages; and whoever disobeys allah and his apostle, there will indeed be for him the fire of hell, to remain in it forever.’

Swahili

ila nifikishe ujumbe utokao kwa mwenyezi mungu na risala zake. na wenye kumuasi mwenyezi mungu na mtume wake, basi hakika hao watapata moto wa jahannamu wadumu humo milele.

Senast uppdaterad: 2014-07-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Få en bättre översättning med
7,794,520,128 mänskliga bidrag

Användare ber nu om hjälp:



Vi använder cookies för att förbättra din upplevelse. Genom att fortsätta besöka den här webbplatsen godkänner du vår användning av cookies. Läs mer. OK