You searched for: asante kwa mafundisho yangu ya lugha (Swahili - Arabiska)

Datoröversättning

Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.

Swahili

Arabic

Info

Swahili

asante kwa mafundisho yangu ya lugha

Arabic

 

Från: Maskinöversättning
Föreslå en bättre översättning
Kvalitet:

Mänskliga bidrag

Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.

Lägg till en översättning

Swahili

Arabiska

Info

Swahili

asante kwa kusoma tovuti ya global voices!

Arabiska

شكراً لقراءتكم الأصوات العالمية!

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

najua kwamba ninyi ni wazawa wa abrahamu. hata hivyo, mnataka kuniua kwa sababu hamuyakubali mafundisho yangu.

Arabiska

انا عالم انكم ذرية ابراهيم. لكنكم تطلبون ان تقتلوني لان كلامي لا موضع له فيكم.

Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

na kwa kile kinachostahili, hapa unaweza kuona orodha yangu ya vitabu vya kifaransa ninavyotarajia kuvisoma kiangazi hiki:

Arabiska

و لمن يهتم، ها هي قائمتي الخاصة من الكتب الفرنسية للقراءة فى الصيف:

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

mtu anayependa kufanya yale anayotaka mungu, atajua kama mafundisho yangu yametoka kwa mungu, au mimi najisemea tu mwenyewe.

Arabiska

ان شاء احد ان يعمل مشيئته يعرف التعليم هل هو من الله ام اتكلم انا من نفسي.

Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

pamoja na kuongezeka kwa idadi ya lugha zinazotumiwa mtandaoni, jamii nyingi bado zinakabiliana na changamoto zinapojaribu kuwasiliana kupitia mitandao za kijamii.

Arabiska

بالرغم من ازدياد عدد اللغات المستخدمة على الإنترنت، فإن الكثير من المجتمعات تواجه تحديات مستمرة عند قيامها بالتواصل بلغتها الأم على وسائل الإعلام الاجتماعي.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

mtandao wa global voices kwa sasa unapatikana katika zaidi ya lugha 30 tofauti shukrani za pekee kwa wahariri na wafasiri wetu wanaojitolea kwenye mradi wetu wa lingua.

Arabiska

الأصوات العالمية متاحة حاليًا بأكثر من 30 لغة مختلفة، فشكرًا لمترجمي ومحرري مشروع لينجوا الأصوات العالمية المتطوعين المدهشين.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

kwa msaada wako, tunaweza kufanya mtandao uwe na lugha nyingi kadri iwezekanavyo wenye kushamiri lugha tofauti tofauti, na sio kubagua baadhi ya lugha.

Arabiska

ومع مساعدتكم، نستطيع بناء الطريق لوجود إنترنت متعددة اللغات، حيث تحوز اللغات احترامها بدلًا من أن تقصي بعضها.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

lakini ikiwa mimi sifahamu maana ya lugha asemayo mtu fulani, mimi ni mgeni kwake mtu huyo naye pia ni mgeni kwangu.

Arabiska

فان كنت لا اعرف قوة اللغة اكون عند المتكلم اعجميا والمتكلم اعجميا عندي.

Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

12.30 jioni: " kama mambo yataendelea kuwa mabaya nitaitia kadi yangu ya simu kwenye simu ya mke wangu.

Arabiska

6:30 مساء: "في حال ساءت الأوضاع، سأضع بطاقة خطّي في جوّال زوجتي، طائرة الـ اف16 تقصف حالياً، وصوت سيارة الاسعاف يدوي في الأرجاء، كلّ يوم أسوأ من الذي قبله"

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering

Swahili

lakini katika mikutano ya waumini napendelea zaidi kusema maneno matano yenye kueleweka ili niwafundishe wengine, kuliko kusema maneno elfu ya lugha ngeni.

Arabiska

ولكن في كنيسة اريد ان اتكلم خمس كلمات بذهني لكي اعلّم آخرين ايضا اكثر من عشرة آلاف كلمة بلسان.

Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

wewe lakini, umeyafuata mafundisho yangu, mwenendo wangu, makusudi yangu katika maisha, imani yangu, uvumilivu wangu, upendo wangu, subira yangu,

Arabiska

واما انت فقد تبعت تعليمي وسيرتي وقصدي وايماني واناتي ومحبتي وصبري

Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

hii ni mara yangu ya tatu kuja kwenu. "kila tatizo litatatuliwa kwa ushahidi wa watu wawili au watatu," yasema maandiko.

Arabiska

هذه المرة الثالثة آتي اليكم. على فم شاهدين وثلاثة تقوم كل كلمة.

Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering

Swahili

watafute watu wengine kwa kutumia alama habari ya #motherlanguage na sambaza twiti zao tafuta alama habari ya lugha yako ya asili na wafuatilie wengine wanao-twiti kwa lugha hiyo ungana na watu wengine wanaosherehekea wingi wa lugha

Arabiska

ابحث عن الاخرين الذين يستخدمون الوسم motherlanguage# وأعد نشر تغريداتهم تابع الآخرين الذين يغردون بلغتك. ابحث عن وسم لغتك تواصل مع المحتفلين بالتعددية اللغوية.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

kama nilivyoeleza katika mazungumzo yangu ya naukas bilbao mwaka jana, shirika la usalama wa taifa (nsa) huajiri theluthi tatu ya wataalamu wa hisabati kote duniani.

Arabiska

كما شرحت في مداخلتي في نكاس بلباو السنة الماضية، توظف وكالة الأمن القومي (nsa) ثلث علماء الرياضيات في العالم.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

nimekulia ureno na ninajisikia mreno. vile vile nimeishi uingereza kwa takribani miaka kumi na mitano (nikiondoka na kurudi). kwa kweli niliondoka london mwezi machi 2003 kwa lengo la kwenda na kutulia ureno; nilikuwa nimemaliza shahada yangu ya sanaa (ba) katika uchoraji katika shule ya sanaa ya wimbledon mwaka 2000,, na nikaacha kuchora kwa miaka mitatu iliyofuata, kwa hiyo nikaamua ulikuwa ni wakati wa kuondoka.

Arabiska

ف ): والدي برتغالي ووالدتي إسبانية، نشأت في البرتغال وأشعر أني برتغالية، عشت في انجلترا لمدة ١٥ عاما ( أذهب وأعود) تركت لندن في مارس/آذار ٢٠٠٤ لأعود وأستقر في البرتغال ونلت شهادة البكالريوس في الفنون الجميلة عام ٢٠٠٠ من مدرسة ويمبلدون للفنون توقفت بعدها عن الرسم لمدة ثلاثِ سنوات ومن ثم قررت الرحيل، وفي نوفمبر/تشرين الثاني قررت وصديقة برتغالية السفر إلى غينيا-بيساو في سيارة رينو ٤ ل، تعطلت بنا السيارة في الساحل الموريتاني عند حوض أركين، بقيت صديقتي في نواكشوط أما أنا فرافقت مجموعة سياح فرنسيين كانوا في طريقهم لاكتشاف إقليم أردار.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Få en bättre översättning med
7,790,263,300 mänskliga bidrag

Användare ber nu om hjälp:



Vi använder cookies för att förbättra din upplevelse. Genom att fortsätta besöka den här webbplatsen godkänner du vår användning av cookies. Läs mer. OK