Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
mlipokuwa watumwa wa dhambi, mlikuwa huru mbali na uadilifu.
لانكم لما كنتم عبيد الخطية كنتم احرارا من البر.
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
ninyi mlikuwa mmekufa kwa sababu ya makosa na dhambi zenu.
وانتم اذ كنتم امواتا بالذنوب والخطايا
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
yesu aliingia tena katika sunagogi na mle ndani mlikuwa na mtu aliyekuwa na mkono uliopooza.
ثم دخل ايضا الى المجمع. وكان هناك رجل يده يابسة.
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
hapo awali ninyi mlikuwa mmemwasi mungu, lakini sasa mmepata huruma yake kutokana na kuasi kwao.
فانه كما كنتم انتم مرة لا تطيعون الله ولكن الآن رحمتم بعصيان هؤلاء
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
ninyi mlikuwa kama kondoo waliokuwa wamepotea; lakini sasa mmemrudia mchungaji na mlinzi wa roho zenu.
لانكم كنتم كخراف ضالة لكنكم رجعتم الآن الى راعي نفوسكم واسقفها
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
hapo kwanza ninyi pia mlikuwa mbali na mungu na mlikuwa adui zake kwa sababu ya fikira zenu na matendo yenu maovu.
وانتم الذين كنتم قبلا اجنبيين واعداء في الفكر في الاعمال الشريرة قد صالحكم الآن
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
lakini sasa, kwa kuungana na kristo yesu, ninyi ambao hapo awali mlikuwa mbali, mmekaribishwa kwa njia ya damu yake kristo.
ولكن الآن في المسيح يسوع انتم الذين كنتم قبلا بعيدين صرتم قريبين بدم المسيح.
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
zamani ninyi mlikuwa gizani, lakini sasa ninyi mko katika mwanga kwa kuungana na bwana. ishini kama watoto wa mwanga:
لانكم كنتم قبلا ظلمة واما الآن فنور في الرب. اسلكوا كاولاد نور.
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
siku nyingine ya sabato, yesu aliingia katika sunagogi, akafundisha. mle ndani mlikuwa na mtu ambaye mkono wake wa kuume ulikuwa umepooza.
وفي سبت آخر دخل المجمع وصار يعلم. وكان هناك رجل يده اليمنى يابسة.
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
mlikuwa wenye furaha; sasa kumetokea nini? naapa kwamba wakati ule mngaliweza hata kuyang'oa macho yenu na kunipa mimi.
فماذا كان اذا تطويبكم. لاني اشهد لكم انه لو امكن لقلعتم عيونكم واعطيتموني.
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
baadhi yenu mlikuwa hivyo; lakini sasa mmeoshwa, mkafanywa watakatifu, na kupatanishwa na mungu kwa jina la bwana yesu kristo na kwa roho wa mungu wetu.
وهكذا كان اناس منكم. لكن اغتسلتم بل تقدستم بل تبررتم باسم الرب يسوع وبروح الهنا
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
kuhusu jambo hili, basi, nawapeni shauri hili: inafaa kwenu kutekeleza sasa yale mliyoanza mwaka jana. ninyi mlikuwa wa kwanza kuchukua hatua na kuamua kufanya hivyo.
اعطي رأيا في هذا ايضا. لان هذا ينفعكم انتم الذين سبقتم فابتدأتم منذ العام الماضي ليس ان تفعلوا فقط بل ان تريدوا ايضا.
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
wakati ule ninyi mlikuwa bila kristo; mlikuwa nje ya jamii ya israeli; mlikuwa wageni na hamkuwa na sehemu yoyote katika lile agano la zile ahadi. mlikuwa bila matumaini mungu hapa duniani.
انكم كنتم في ذلك الوقت بدون مسيح اجنبيين عن رعوية اسرائيل وغرباء عن عهود الموعد لا رجاء لكم وبلا اله في العالم.
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet: