You searched for: yaliyo (Swahili - Arabiska)

Datoröversättning

Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.

Swahili

Arabic

Info

Swahili

yaliyo

Arabic

 

Från: Maskinöversättning
Föreslå en bättre översättning
Kvalitet:

Mänskliga bidrag

Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.

Lägg till en översättning

Swahili

Arabiska

Info

Swahili

mwenye hasira hawezi kutimiza matakwa ya mungu yaliyo ya haki.

Arabiska

لان غضب الانسان لا يصنع بر الله.

Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

basi, inueni mikono yenu inayolegea na kuimarisha magoti yenu yaliyo dhaifu.

Arabiska

لذلك قوّموا الايادي المسترخية والركب المخلّعة

Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

aifariji mioyo yenu na kuwaimarisheni ili mweze daima kutenda na kusema yaliyo mema.

Arabiska

يعزي قلوبكم ويثبتكم في كل كلام وعمل صالح

Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

na sasa, katika hali hii, tunaugua, tukitazamia kwa hamu kubwa kuvikwa makao yetu yaliyo mbinguni.

Arabiska

فاننا في هذه ايضا نئن مشتاقين الى ان نلبس فوقها مسكننا الذي من السماء.

Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

tumaini langu pekee ni kwamba tunaweza kuwa imara kiasi cha kutoa majibu yaliyo kinyume na yale yaliyotarajiwa na wahalifu wa mashambulizi haya.

Arabiska

وأملي الوحيد هو أن نبقى أقوياء لنعمل على توليد استجابة معاكسة لما كان يرغب به هؤلاء المجرمون.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

"sikiliza! naja upesi. heri yake anayeyazingatia maneno ya unabii yaliyo katika kitabu hiki."

Arabiska

ها انا آتي سريعا. طوبى لمن يحفظ اقوال نبوة هذا الكتاب

Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering

Swahili

ufilipino ni moja ya nchi iliyoingia mkataba wa makubaliano kuhusu haki za mtoto pamoja na kwenye t mashirika mengie ya kimataifa yaliyo na malengo ya kulinda mustakabali wa watoto.

Arabiska

تسلط هذه الأرقام المقلقة الضوء على الأوضاع السيئة التي يعاني منها العديد من الأطفال في الفلبين، الذين يفتقرون إلى الخدمات الاجتماعية الأساسية.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

majibizano haya yaliyo katika video yalirekodiwa na yasser, al-dhuhaian pamoja na mtoto wa kiume wa al-ayaf.

Arabiska

حالما تم تحميل الفيديو على اليوتيوب، انتشر بسرعة قياسية وتم تداوله بشكل واسع.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

maeneo hayo yaliyo karibu na mipaka, kwa ujumla, yamekuwa yakilengwa na wahalifu hao wanaotumia fursa ya kuwa karibu na maeneo hayo kuisafirisha utajiri huo nje ya nchi kwa urahisi kwa kutumia njia haramu.

Arabiska

إنّ المواقع الأثرية القريبة من الحدود هي الأكثر نهبًا فلصوص الآثار يستغلون موقعها لتنفيذ عمليات التهريب بسرعة إلى الخارج.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

huyo mama akasema, "mheshimiwa, wewe huna chombo cha kutekea maji, nacho kisima ni kirefu; utapata wapi maji yaliyo hai?

Arabiska

قالت له المرأة يا سيد لا دلو لك والبئر عميقة. فمن اين لك الماء الحي.

Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering

Swahili

kwa mujibu wa taarifa za habari, wanamgambo wa isis wanavuna mamilioni kwa biashara hiyo ya magendo, wakiuza safaru na vito hivyo vilivyoibwa kwenye makumbusho yaliyo magharibi na karibu na ghuba kupitia mtandao mpana wa wafanya biashara ya magendo na madalali.

Arabiska

وفقًا لتقارير إخبارية، تجني ميليشيات داعش الملايين من وراء عمليات تهريب وبيع الآثار القديمة التي نُهبت من المتاحف إلى الغرب ودول الجوار في الخليج عبر شبكة من المهربين والوسطاء

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

yesu akamjibu, "kama tu ungalijua zawadi ya mungu na ni nani anayekwambia: nipatie maji ninywe, ungalikwisha mwomba, naye angekupa maji yaliyo hai."

Arabiska

اجاب يسوع وقال لها لو كنت تعلمين عطية الله ومن هو الذي يقول لك اعطيني لاشرب لطلبت انت منه فاعطاك ماء حيّا.

Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering

Swahili

ewe mwenyezi mungu hakika mimi nakutaka muelekezo kwa ujuzi wako, na nakuomba uniwezeshe kwa uwezo wako, na nakuomba fadhila zako kubwa, hakika wewe unaweza nami siwezi, nawe unajua nami sijui, na wewe ni mjuzi wa yale yaliyo fichikana. ewe mwenyezi mungu, iwapo jambo hili kutokana na ujuzi wako (atalitaja jambo lake) lina kheri na mimi katika dini yangu na maisha yangu na mwisho wa jambo langu (karibu au mbali) basi nakuomba uniwezeshe nilipate, na unifanyie wepesi, kisha unibariki, na iwapo unajua kwamba jambo hili ni shari kwangu katika dini yangu na maisha yangu na mwisho wa jambo langu (karibu au mbali) basi liepushe na mimi nami niepushe nalo, na nipangie jambo jengine lenye kheri na mimi popote lilipo kisha niridhishe kwalo. na hajuti mwenye kumtaka muelekeo mwenyezi mungu, na akawashauri waja waumini, na akajidhatiti katika jambo lake.

Arabiska

يأتي

Senast uppdaterad: 2022-01-04
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Få en bättre översättning med
7,788,642,604 mänskliga bidrag

Användare ber nu om hjälp:



Vi använder cookies för att förbättra din upplevelse. Genom att fortsätta besöka den här webbplatsen godkänner du vår användning av cookies. Läs mer. OK