You searched for: ilikosa kuunda kikoa, iko katika hali mbaya (Swahili - Engelska)

Datoröversättning

Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.

Swahili

English

Info

Swahili

ilikosa kuunda kikoa, iko katika hali mbaya

English

 

Från: Maskinöversättning
Föreslå en bättre översättning
Kvalitet:

Mänskliga bidrag

Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.

Lägg till en översättning

Swahili

Engelska

Info

Swahili

wakati vyombo vya jirani tayari vinajengwa upya, chuo kikuu cha palo bado kiko katika hali mbaya.

Engelska

while nearby structures are already being reconstructed, the palo campus remains in ruins.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

akawaambia: nyinyi mko katika hali mbaya zaidi, na mwenyezi mungu anajua zaidi hayo mnayo singizia.

Engelska

he (simply) said (to himself): "ye are the worse situated; and allah knoweth best the truth of what ye assert!"

Senast uppdaterad: 2014-07-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering

Swahili

kukandamizwa kwa kinga ya mwili ni muhimu katika matibabu ya mlipuko wa saitokini, hasa kwa wagonjwa walio katika hali mbaya.

Engelska

immunosuppression is essential in the treatment of cytokine storms, especially in severe patients.

Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

ili kukuelewesha upate picha ya hali ilivyo hapa...sijaweza kwenda sambamba na habari za nani anafanya nini lakini ninachoweza kukueleza ni kwamba haiti iko katika hali mbaya.

Engelska

to make it clear from someone on the ground here…i have not kept up with the news and who is doing what but i’ll tell you that haiti is a mess.

Senast uppdaterad: 2023-08-27
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

katika hali mbaya zaidi, wagonjwa waliendelea kuwa na matatizo mabaya ya kupumua, hali inayosababisha viungo vya mwili kutofanya kazi, asidi nyingi mno mwilini na hali ya damu kushindwa kuganda.

Engelska

in severe cases, patients quickly progressed to develop acute respiratory syndrome, septic shock, metabolic acidosis, and coagulopathy.

Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

kutokana na haya, plasma iliyokusanywa kutoka kwa damu za kikundi cha wagonjwa ambao walipona kutokana na covid-19 ilitumika kuwadunga wagonjwa 10 waliokuwa katika hali mbaya sana.

Engelska

based on this, plasma was collected from the blood of a group of patients who recovered from covid-19 and was injected into 10 seriously ill patients.

Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

kwa upande mwingine, kinga ya mwili inapozalisha antibodi kupita kiasi inaweza kusababisha madhara mabaya ya mapafu na viungo vingine, na katika hali mbaya zaidi, viungo vingi kukosa kufanya kazi na hata kifo.

Engelska

on the other hand, an overreaction of the immune system generates a large number of free radicals locally that can cause severe damages to the lungs and other organs, and, in the worst scenario, multi-organ failure and even death.

Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

wagonjwa wa covid-19 wanasambaza virusi hata wakati hawaonyeshi dalili zozote huku wagonjwa wa sars wakiwa wanafanya hivyo wakiwa katika hali mbaya sana, jambo linalosababisha ugumu zaidi wa kudhibiti kuenea kwa covid-19 kuliko sars.

Engelska

covid-19 patients transmit the virus even when they are symptomless whereas sars patients do so usually when they are severely ill, which causes much greater difficulty to contain the spread of covid-19 than sars.

Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

polisi wanapiga mabomu ya machozi kutawanya watu @mirembe_maria (masaa 14 yaliyopita): maandamano ya chuo kikuu cha makerere yamewaacha watu 2 wamefariki na mmoja katika hali mbaya, je ni njia ipi serikali itatumia kwenda mbele baada ya yote haya?

Engelska

police firing teargas disperse crwd @mirembe_maria (14 hours ago): the makerere university strike has left two dead and one in critical condition, what is the way forward for the government about all this??

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Vissa mänskliga översättningar med låg relevans har dolts.
Visa resultat med låg relevans.

Få en bättre översättning med
7,772,994,964 mänskliga bidrag

Användare ber nu om hjälp:



Vi använder cookies för att förbättra din upplevelse. Genom att fortsätta besöka den här webbplatsen godkänner du vår användning av cookies. Läs mer. OK