Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
wanatumia silaha mpya… zinatisha sana… wakati zikipita angani… utazisikia ziko karibu sana na wewe… zinakuja, zinakuja kuniua, sasa hivi… hivi ndivyo unavyofikiri… inatisha mno… nakubali kwamba sijali tena… nimeshazoea zile silaha za zamani… na sasa inanibidi nizizowee na hizi pia… siwezi kukuelezea kwa maneno ukali wa vitisho hivi… ni kama kombora linaloelekezwa kwako… na mlio wake… mlio wa ndege angani ikikuelekea… ikiongeza sauti kadri inavyokukaribia zaidi… ikesha inapita juu ya vichwa vyetu… sote tumelala chini…
they're using new weaponry ... very frightening... as it goes through the air... you hear it very close to you... it's going to come, it's going to kill me, now now now... that's what you think of... it's terrifying... i admit not to care... i have gotten used to the old weaponry... now i have to get used to this one too... i cannot describe in words to you the extent of its terror... like a rocket being projected onto you... and the sound... the sound of a plane in the air coming towards you... magnifying its sound the closer it gets... then it passes above our heads... we are all on the floor
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet: