You searched for: kinaendelea (Swahili - Engelska)

Datoröversättning

Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.

Swahili

English

Info

Swahili

kinaendelea

English

 

Från: Maskinöversättning
Föreslå en bättre översättning
Kvalitet:

Mänskliga bidrag

Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.

Lägg till en översättning

Swahili

Engelska

Info

Swahili

nini kinaendelea?

Engelska

you are all mad

Senast uppdaterad: 2022-01-23
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

lakini mimi sikwenda hospitalini, kwa hiyo sijui nini kinaendelea kule.

Engelska

but i didn't go to the hospital so i don't know what's happening there.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

habari mke wangu mzuri nini kinaendelea au uko kitandani tafadhali niambie

Engelska

habari mke wangu mzuri nini kinaendelea au uko kitandani tafadhali niambie

Senast uppdaterad: 2023-08-15
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

ni kitu gani kinaendelea huko kiasi kwamba kila wakati ni lazima mtu auliwe?.

Engelska

what’s going on in there that every time someone has to be killed?

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

kwa ujumla, haijulikani nini kinaendelea hapa na mtandao wa simu za mkononi unapatikana kwa shida.

Engelska

in general, it is unclear what is going on here. and hardly any connection is available.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

baada ya picha kamahizi zilipoanza kusambaa mtandaoni, ilikuwa wazi kwamba kilichokuwa kinaendelea westgate ni kitendo cha kigaidi:

Engelska

after images like these began to circulate, it was becoming clear that an act of terror had been perpetrated in westgate:

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

hoja yangu ni kwamba baadhi ya watu hawana welewa kuhusu nini kinaendelea ndani ya maisha yetu na bado wanafikiri wana haki ya kuamua na kuwa wakuu.

Engelska

my point is, some people have no knowledge about what goes on in our life yet they deem it their right to judge and be almighty.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

hapa ni robert alai (@robertalai), mmoja wa watu wa mwanzo kuarifu kwamba kulikuwa na kitu cha ajabu kinaendelea:

Engelska

here is robert alai (@robertalai), one of the first to report that something more sinister was underway:

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

kwa hakika, waafrika wengi wanaamini kuwa hali ya kutokuwepo usawa inaendelea kuonekana wazi: kikundi cha watu wachache kinaendelea kutajirika wakati wengine wakiendelea kufukarika.

Engelska

in fact, many africans believe that inequalities are becoming more marked: a tiny minority is getting richer while the lines of poor people grow out the door.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

ilipotimu saa 5 usiku, rais uhuru kenyatta alilihutubia taifa na kuthibitisha kwamba kilichokuwa kinaendelea huko westgate, kilikuwa, kwa hakika, ni shambulio la kigaidi.

Engelska

at about 11 p.m. in the evening, president uhuru kenyatta addressed the nation and confirmed that what was happening in westgate was, indeed, a terror attack.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

ni muhimu kuiweka (ilani hiyo) tena hapa katika ujumla wake kwani kila kitu ambacho global voices inakifanya leo hii kinaendelea kuendeshwa na maadili hayo ya msingi:

Engelska

it's worth reproducing in full here because everything global voices does today continues to be driven by these fundamental values:

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

-pili, kwa sababu kila mmoja aliweza kufuatilia kilichokuwa kinaendelea ndani ya ukumbi wa kukutania (matangazo ya mtandaoni yalipata watazamaji nusu milioni ndani ya mwezi mmoja) ilisababisha vyombo vya habari kushindwa kuwapachika jina waandamanaji kama wafanya ghasia au watu wenye msimamo mkali.

Engelska

- second, because everyone could follow what was going on inside the auditorium maximum (the webcast produced half a million views within one month) it kept the tabloid press from labeling the protesters as rioters or extremists.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Få en bättre översättning med
7,763,256,846 mänskliga bidrag

Användare ber nu om hjälp:



Vi använder cookies för att förbättra din upplevelse. Genom att fortsätta besöka den här webbplatsen godkänner du vår användning av cookies. Läs mer. OK