You searched for: kipato cha mwezi (Swahili - Engelska)

Datoröversättning

Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.

Swahili

English

Info

Swahili

kipato cha mwezi

English

 

Från: Maskinöversättning
Föreslå en bättre översättning
Kvalitet:

Mänskliga bidrag

Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.

Lägg till en översättning

Swahili

Engelska

Info

Swahili

umaskini wa kipato cha chini

Engelska

utegemezi kwa kujua haki na wajibu

Senast uppdaterad: 2019-10-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

• tutengeneze fursa za kujipatia kipato cha juu kwa wote

Engelska

• create opportunities for higher incomes for all

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

• tuboreshe maisha ya wasingapori wenye kipato cha chini

Engelska

• improve the lives of lower-income singaporeans

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

kipato cha kila siku cha asilimia 43.75 ya wasichaa ni tk.

Engelska

the daily income of 43.75 % of the girls is tk.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

karibu nusu ya wasichana hawa wana kipato cha kujikimu tu kipatacho kama tk.

Engelska

almost half of these girls have a measly daily income of tk.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

anawaunga mkono na mamia ya mamilioni kila mwaka kutoka katika kipato cha starbucks, ni mmoja wa wadhamini wakubwa wa silaha.

Engelska

he is supporting them with hundred of millions yearly from starbucks' income, and he's one of the major sponsors of their weaponry.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

kwa watu wenye kipato cha chini au wale wasio nacho kabisa, kilimo cha bustani mijini chaweza kuwa sehemu ya suluhisho la kuwa na chakula cha hakika.

Engelska

for people with low or no income, urban gardening may be the key to food security.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

katika kipindi hicho cha mwezi mmoja, kila mnaijeria mwenye umri wa miaka 18 na zaidi aliandikishwa ili aweke jina lake na lalama zake za vidole kwenye vituo mbalimbali.

Engelska

in that one month period, every nigerian aged 18 and above was practically drafted to put down their names and fingerprints at various centres.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

ilifikiriwa kwamba jambo hili huenda litasaida kufanya wanablogu wajipatie kipato cha ziada pamoja na kwamba sicho kitu wanachokisaka kwa udi na uvumba, lakini bado itawapatia wanablogu kifuta jasho.

Engelska

this, it was noted, would be more effective and would earn bloggers that extra penny which though not sought desperately, would afford bloggers some stipend.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

katika kipindi cha mwezi hivi, mamlaka za singapore zimesababisha kelele kubwa baada ya kupiga marufuku filamu ya aliyewahi kuwa mfungwa wa kisiasa na kumkamata mtunzi mwingereza wa kitabu kilichoandiaka kuhusu adhabu ya kifo nchini humo.

Engelska

in a space of a month, singapore authorities caused a major uproar when they banned a film of an ex-political prisoner and arrested a british author who wrote a book about the death penalty in singapore.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

raia wengi wamepatwa na mshtuko iweje mapinduzi yafanyike kipindi cha mwezi mmoja tu kabla ya uchaguzi uliokuwa umepangwa kufanyika tarehe 29 aprili, 2012? bila shaka kulikuwa na nadharia nyingine za kueleza tukio hilo na hatua hiyo ya kijeshi.

Engelska

many citizens are perplexed as to why a coup is being staged so soon ahead of already scheduled elections on april 29, 2012, and there are many theories.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

dira ya kenya 2030 inalenga kuhakikisha wakenya wote wanapata maisha bora katika nchi mpya iliyoendelea kiviwanda na hali ya juu ya uchumi wa kipato cha kati. kenya imefikia hali ya chini ya uchumi wa kipato cha kati, na kuiwezesha kufikia hatua, hasa wakati manufaa ya kiuchumi ya miundombinu muhimu iliyowekwa katika muongo mmoja uliopita yanazaa matunda.

Engelska

the kenya vision 2030 aims to ensure all kenyans achieve a high quality of life in a newly industrialised country with a higher middle income economic status. kenya has realised a lower middle income economic status, enabling it to reach the take off stage, especially when the economic benefits of the significant infrastructural facilities laid down in the past decade bear fruits.

Senast uppdaterad: 2022-02-02
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

inaelekezwa kuwa, mengi ya mapendekezo huru na yaliyo makini yaliyoandaliwa na kamati teule ya singapore- kama yale ya serikali kuweka bayana waundaji wasio na mipaka ya midahalo ya kisiasa, uanzishwaji wa mpango wa kuwasaidia kiuchumi watu wasio na ajira pamoja na kupunguza gharama za bidhaa kwa makundi ya watu wa kipato cha chini hayakutiliwa maanani.

Engelska

it is instructive that a majority of the more liberal suggestions made by the remaking singapore committee – such as for the government to define the out-of-bounds markers for political debate, creating an economic relief scheme for the structurally unemployed and subsidising the medishield premiums of low-income groups – went unheeded.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Få en bättre översättning med
7,788,657,404 mänskliga bidrag

Användare ber nu om hjälp:



Vi använder cookies för att förbättra din upplevelse. Genom att fortsätta besöka den här webbplatsen godkänner du vår användning av cookies. Läs mer. OK