You searched for: kuchagua (Swahili - Engelska)

Datoröversättning

Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.

Swahili

English

Info

Swahili

kuchagua

English

 

Från: Maskinöversättning
Föreslå en bättre översättning
Kvalitet:

Mänskliga bidrag

Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.

Lägg till en översättning

Swahili

Engelska

Info

Swahili

kupenda ni kuchagua

Engelska

to love is to choose

Senast uppdaterad: 2023-09-08
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

kuchagua nini bora kwa ajili yenu

Engelska

choose what best for you love

Senast uppdaterad: 2022-09-21
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

kenya: kiswahili kuwa somo la kuchagua

Engelska

kenya: kiswahili an optional subject · global voices

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

piga kura kuchagua “blogu bora zaidi”

Engelska

cast your vote for the "best of the blogs" · global voices

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering

Swahili

kwa njia ya sheria unajua matakwa ya mungu na unaweza kuchagua jambo jema;

Engelska

and knowest his will, and approvest the things that are more excellent, being instructed out of the law;

Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

mimi binafsi nafikiri ccm kama chama huru kina haki ya kuchagua kishiriki kwenye midahalo ipi na ipi kisishiriki.

Engelska

i personally think ccm as an independent party has a right to select and choose the debate it can participate or not participate

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

kila mji utakaokuwa na tamasha la twestival utapewa fursa ya kuchagua sehemu ya elimu ambayo wataiunga mkono.

Engelska

each city hosting a twestival will be given the opportunity to select an area of education to support.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

awali ya yote, umetueleza, namna ambavyo kushiriki uchaguzi kuchagua vyama vya hovyo tunavyoletewa kutabadili nchi.

Engelska

first of all, you explain to us, how taking part in the elections to choose any of the dirty parties imposed on us will change anything in the country.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

kampeni hiyo inawalenga wapiga kura wenye sifa wapatao milioni 4 ambao hawakujiandikisha kwenye uchaguzi wa oktoba 2011 wa kuchagua bunge la katiba.

Engelska

the campaign targets some 4 million eligible voters who did not register for the october 2011 constituent assembly election.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

shindano la kila mwaka limezinduliwa kwa ajili ya watu kupiga kura kuchagua maajabu saba yaliyo bora zaidi barani afrika, na upigaji kura umeshaanza.

Engelska

an annual competition has been launched for the public to vote for the seven best natural wonders of africa, with the voting currently underway.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

matokeo ya uchaguzi yanamiminika kutoka kila upande wa nchi na ni dhahiri kwamba india imepiga kura kwa kishindo ili kuchagua serikali imara ya mseto ya upa, chini ya uongozi wa chama cha congress.

Engelska

election results are pouring in from all across the country and it is now clear that india has voted decisively for a stable government at the center, under the leadership of the congress-led upa.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

harinjaka, mwanzilishi wa mradi wa habaka na mwanablogu anayeishi madagaska, ameanzisha shindano la biashara mpya antananarivo 2014 lenye lengo la kuchagua na kuunga mkono wazo la biashara nchini madagaska.

Engelska

harinjaka, founder of the co-working space habaka and madagascar-based blogger, created the 2014 antananarivo start up cup whose objective is to select and support the best business ideas in madagascar.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

kupitia twita, eldeethedon, mmoja wa wanamuziki kadhaa, amewasihi watu “kuwa mabadiliko” na kujiandikisha kuchagua, kupiga na kulinda kura.

Engelska

trading places expresses it thus: through twitter, eldeethedon, one of several musicians, urged people to “be the change” and register select vote protect.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

fernando rios (@fernandoriosd) aliweka picha ya carlos urbaneja, raia mwenye miaka 94 ambaye namba yake ya utambulisho ni 5 na ayekwenda kutumia haki yake ya kuchagua:

Engelska

fernando rios (@fernandoriosd) shared a photo of carlos urbaneja, a 94-year-old citizen whose identity number is 5 and who went to exercise his right to vote:

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

na katika kutangaza "kushiriki katika shughuli za kujitolea", jokowi aliwaomba watumiaji wa facebook kupiga kura na kuchagua mawaziri 34 ambao wanadhani anapaswa kuwaingiza katika baraza la mawaziri la serikali yake.

Engelska

and in the spirit of promoting "volunteer participation", jokowi asked facebook users to vote and choose the 34 cabinet ministers he should include in his government.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering

Swahili

bunmi anaandika kuhusu uamuzi wa kulifanya somo la kiswahili kuwa la kuchagua nchini kenya: "somo hili halitakuwa tena na mtihani wa lazima katika mtihani wa taifa wa darasa la nane..."

Engelska

bumni writes about the decision to make kiswahili an optional subject in kenya: "the subject will no longer be a compulsory paper in the standard eight national examinations..."

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering

Swahili

haidhuru unafikiriaje juu ya kujifunika kwa kiislamu jambo moja ni la hakika – kuwatia hatiani wanawake wanaovaa burqa au niqab kutawafanya wanawake hao wazidi kutoonekana. … kuchagua chagua masuala ya kutilia maanani katika haki za wanawake ni njia tu ya watu kuweka bayana ubaguzi wa kitaifa na silica hiyo inaweza kuonekana katika kila ngazi ya jamii – katika umma wa kawaida, katika vyombo vya habari, katika serikali.

Engelska

no matter what you think of islamic veiling one thing is for sure – criminalising the women who wear the burqa or niqab is only going to render them more invisible. …this selective concern for women’s rights is merely a way for people to articulate their racist nationalism and it’s an attitude that can be found through all levels of society – in the general populace, in the media, in the government.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Få en bättre översättning med
7,773,056,292 mänskliga bidrag

Användare ber nu om hjälp:



Vi använder cookies för att förbättra din upplevelse. Genom att fortsätta besöka den här webbplatsen godkänner du vår användning av cookies. Läs mer. OK