Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
'a-mei': “nafikiri hii inavuka mipaka ya kujitangaza.”
'a-mei': "i think it's too much marketing."
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering
lakini kama watathubutu kuanza kujitangaza hadharani ili kuendeleza uovu wao, tutawashughulikia bila huruma!!!!
if they dare come out in the open to advance their evils, we will deal with them ruthlessly!!!!
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
chama cha da kinaendesha kampeni ya kujitangaza kwenye mitandao ya kijamii pamoja na akaunti kadhaa za twita kama ile ya meya wa mji wa cape town na mkuu wa chama cha da, helen zille.
the da have been managing a presence on social networks and several twitter accounts such as that of the mayor of cape town and head of the da, helen zille.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
watu wapatao 25 walipigwa risasi na kuuwawa leo katika mji mkuu wa madagaska, antananarivo, wakati wa maandamano ya kuelekea ikulu ya nchi hiyo yaliyoitishwa na meya wa jiji andry rajoelina baada ya kujitangaza kama kiongozi wa serikali mpya ya mpito katika mkutano wa hadhara wa kisiasa.
at least 25 people were shot dead today in madagascar's capital antananarivo during a march to the presidential palace called by the city's mayor andry rajoelina after he declared himself the leader of a new transitional government at a political rally.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
tofauti kati ya ukatili wa isis/assad sio kwenye uasili bali katika kujitangaza: kwa upande wa isis, makakati wao ni kutisha; assad anahitaji mapingamizi. — emile hokayem (@emile_hokayem) september 2, 2014
difference btw isis/assad atrocities not in scale/nature but in publicizing: for isis, terror is strategy; assad needs ambiguity/deniability — emile hokayem (@emile_hokayem) september 2, 2014
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet: